Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Sikiliza mdogo wangu, mchagua nazi aliata koroma, kuna wengine wnakwnda mpk kwa waganga wapete hata wa kuwasalimu tu, wewe unapata wa kukuhudumia na kukupa heshima ya mke, na ameamua kukuvumilia mpk umalize shule leo unaomba msaada jinsi ya kumuacha? ni kweli kabisa shemeji zangu huwa hawatanii anaweza akakufanya kitu mbaya.
Pls kubali kuolewa naye tena utaenjoy kwa sababu yeye ndiye amekupenda wewe, na baada ya kukaa naye kwa muda nawe pia utampenda, ila huyo unayempenda leo sidhani kama yeye anakupenda , so fikiria halafu chukua hatua.

Nimejaribu dada Lisa......yaani hanivutii kabisaa na huwez amin nimetoka kumjibu mbovu kwel juz lakin mtu yupo tuuuuu sijui anataka roho yangu?????
Hanivutii kabisaaa.........jins alivyo hata wewe dada yangu sijui kama utamtaka
 
Last edited by a moderator:

Tena huyo ndiyo mzuri basi, maana unakuwa na uhakika kuwa wa kwako peke yako, maana hamna atakaye mfuata, na pia nakusisitiza olewa naye na utakula mema ya nchi, hao wanaume wanaovutia siku zote ndiyo wanawapa presha kila kukicha, maana wao wanapendwa na wasichana wengi, kaa na huyo huyo usibabaike na rangi hata kwenye soda zipo, wewe angalia future yako na watoto utakaokuja kupata, anakujali vipi, anauweo wa kukusaidia kwenu? ukiona hayo yote ni ndiyo chukua huyo ndiyo mumeo, usije ukajuta baadaye kwa kuangalia sura za watu.
"KUMBUKA BAHATI HAIJIRUDII, USIJE UKAJA JUTA BAADAYE"
 
Its fact!!!women dont know what they really need from men/love!!you'll know what u have when its lost.
 
Tena huyo ndiyo mzuri basi, maana unakuwa na uhakika kuwa wa kwako peke yako, maana hamna atakaye mfuata, na pia nakusisitiza olewa naye na utakula mema ya nchi, hao wanaume wanaovutia siku zote ndiyo wanawapa presha kila kukicha, maana wao wanapendwa na wasichana wengi, kaa na huyo huyo usibabaike na rangi hata kwenye soda zipo, wewe angalia future yako na watoto utakaokuja kupata, anakujali vipi, anauweo wa kukusaidia kwenu? ukiona hayo yote ni ndiyo chukua huyo ndiyo mumeo, usije ukajuta baadaye kwa kuangalia sura za watu.
"KUMBUKA BAHATI HAIJIRUDII, USIJE UKAJA JUTA BAADAYE"

Basi acha nijaribu kumpenda kama itawezekana!!!!
 
Inawezekana anza leo, kuweka feelings juu yake, ona kama ndiyo mumeo, baadaye utampenda tu, penda kuwa naye karibu kila mara, mwishowe utamzoea na kupmenda, na utajiuliza ilikuwaje ukawa humpendi, Pls Pls, usijidanganye kuchagua sana, angalia ukoo wake ukoje wana future nzuri, wanajaliana?wanasaidiana, maana unaweza ingia ukoo ambao kila mtu na vyake hata ukipata tatizo husaidiwi. angalia wana magonjwa gani, tabia zao kwa ujumla, historia yao, ukiona wako vizuri basi ingia kwenye huo ukoo.
 
Ntajitahid na hivi alivyo mzee mmmmhhh hata kumuona mara kwa mara naweza bas!
Mashavu yamekwisha anza kubonyea ndani lol!!!!!!
 
Nimejaribu dada Lisa......yaani hanivutii kabisaa na huwez amin nimetoka kumjibu mbovu kwel juz lakin mtu yupo tuuuuu sijui anataka roho yangu?????
Hanivutii kabisaaa.........jins alivyo hata wewe dada yangu sijui kama utamtaka

Miss strong, hata mimi namtafuta mtu ataye nivutia. Mimi nina mvuto sana kwa wadada ila sijaamua kwa sababu wengi awanivutii. Naamini unajiamini umekamilika. Naomba mimi na wewe tufungue ukurasa mpya.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ukimsaidia mtu ndo unataka kumuoa????ndoa na msaada vinaendana eeh???sikumuomba alinipa mwenyewe nkajua bro tu kaamua kumbe lol!!!!!

Acha urongo we mrembo, ulijua kaka wakati mtu anakutambulisha kwa cheo cha "mke"? We sema ukweli tu ulikuwa unajua lengo lake lakini ukashindwa kumtolea nje ili uendelee kumchuna njuruku zake.
 
Ntajitahid na hivi alivyo mzee mmmmhhh hata kumuona mara kwa mara naweza bas!
Mashavu yamekwisha anza kubonyea ndani lol!!!!!!

Mzee amefikia umri gani? na wewe una umri gani? maana ukipata mwanaume mtu mzima, anatulia anakuwa haruki ruki na visichana, anakuwa anakulea wewe, la muhimu angalia amekupita umri gani kama ni miaka 7 mpk 10 siyo mbaya tena nakuhakikishia atakuwa anakulea kwa kukuona wewe ni mtoto kwake. ila ukitafuta wa age mate, lazima uwe kichaa au upate presha na magonjwa ya moyo, maana mtakuwa mnashindana, hakuna atakayekuwa anamsikiliza mwenzie.
 
Acha urongo we mrembo, ulijua kaka wakati mtu anakutambulisha kwa cheo cha "mke"? We sema ukweli tu ulikuwa unajua lengo lake lakini ukashindwa kumtolea nje ili uendelee kumchuna njuruku zake.

Babu Asprin wala hakunitambulisha kama mke ila siku za usoni akiniCall ndo ananiita wife......nikaona haya majanga.
Mwenzangu anavumisha kuwa me mtu wake wakat hata hatukuwa na makubaliano.
 
Last edited by a moderator:
Miss strong, hata mimi namtafuta mtu ataye nivutia. Mimi nina mvuto sana kwa wadada ila sijaamua kwa sababu wengi awanivutii. Naamini unajiamini umekamilika. Naomba mimi na wewe tufungue ukurasa mpya.

Wanaovutiwa na wadada wengi si hoja yangu hapa kwamtoro.....nahitaj nitakayempenda mimi na kuridhika nae.
Hao wanaokupenda wewe ni wao.....mimi naweza nisikupende.Vp ile pesa uliyotaka kulipwa na yule jamaa aliyemchukua demu wako tayar ushalipwa????teh teh teh
 
Ile pesa sikuichukua sababu safari ya brazil iliniweka busy sana. kwa sasa nipo Recife/brasil napiga mishemishe nimeona nisamehe tu. Unasema unaweza usinipende? cha muhimu tuonane tu usipo nipenda powa, ukinipenda nitakupenda pia. lakini wanyakyusa wazuri, mna miili miili fulani.
 
Aliyekwambia mnyakyusa nani???
Kwahiyo mimi nikikupenda baaaaassss hata wewe utanipenda?
Nipo china sasa hivi......
 
Okay! kama siyo mnyakyusa ongera kwa kukifahamu kukizungumza kabila hilo. kuna siku nilishuhudia ukikiandika hapa Jf. Ukinipeda naamini utakuwa umepata quality ambayo bila shaka utafurahi. Nami nitakupenda kwa sababu neno strong unalotumia inaniakikishia kabisa lazima tutatoboa mbali sana. Upo jiji gani china?
 
mi nakuona km mtoto tu,kwani mawazo yako ndo yananipa picha ya kuwa ww ni mtoto..ila si kila kitu ufundishwe,mengine utayajua hadi yakutokee.....hizi theory unazozitafuta hapa hazina mshiko wal hazitakusaidia...cha kufanya subiri ukifikisha miaka 40 ndo utajua ulicho kifanya ni nini!!!!
 
Back
Top Bottom