mkunyegere
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 453
- 93
kama umekula vya watu,basi kubali na wewe uliwe
Haki ya kweli.....(nimelamba mchanga),au niapize kwenye paji la uso Kaizer !!!!
Apia........:shut-mouth:
kwanini unaongea na Kaizer huku unalegeza macho na sauti?
hahahahahaha vita imehamia huku
hivi inakuwaje mwanaume mzima mwanamke anakuona zoba? Miaka3 unatoa pesa kwa binti? Mbaya zaidi hata dushere lako halitaki for 3yrs? Kweli wanaume tunatofautiana!!!!!!
wajibu na haki Miss strong anakupa fedha mpe hiyo kitu apumzikie ,tatizo unataka vitu viwili katika suala moja
Teh teh teh umeiona eeeehhh
miss strong hawa Mzee Kaizer na kigoli DEMBA, siwaelewagi, sijui kama wanapendanaga au wanadanganyana. itabidi wafanye press conference
Kaa utafakari Miss Strong,
hao wote waliokugegeda huko nyuma uliwapenda?
Sikiliza mdogo wangu, mchagua nazi aliata koroma, kuna wengine wnakwnda mpk kwa waganga wapete hata wa kuwasalimu tu, wewe unapata wa kukuhudumia na kukupa heshima ya mke, na ameamua kukuvumilia mpk umalize shule leo unaomba msaada jinsi ya kumuacha? ni kweli kabisa shemeji zangu huwa hawatanii anaweza akakufanya kitu mbaya.Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio serious