Hata kama una haki....

Naam, hata yeye huu ujumbe unamhusu.

Katika viongozi ambao hawatumii busara wala kupima maneno yao ni Magufuli. Mbona haumuandikii ujumbe wa moja kwa moja kumkanya kama unavyomshambulia Lissu hapa. Au ndio muendelezo wa zilezile "double standards"? Au ni uoga tu na kujipendekeza kwa Magu? Magu anatuharibia nchi kwa "udikteta wake uchwara"....huo ndio ukweli.
 
Kwa nn nyie hamtaki kufuata [HASHTAG]#katiba[/HASHTAG] ili yaishe???
Lissu anashinikiza mfuate katiba, yamewashinda??? Kwamba ni bora msitishiwe misaada ila katiba muiweke pembeni eee????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nn nyie hamtaki kufuata [HASHTAG]#katiba[/HASHTAG] ili yaishe???
Lissu anashinikiza mfuate katiba, yamewashinda??? Kwamba ni bora msitishiwe misaada ila katiba muiweke pembeni eee????

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona uelewa wako mdogo sana kama panzi kama siyo Nyumbu....unaamua kutuita nyie wewe unajiondoa ukifikiri hilo unaloshadadia likibuma halikuhusu, hata kina Tsavangirai wakat wanapiga debe Zimbabwe itengwe waliwaita watawala nyie wakijua Zimbabwe ikitengwa wao watakuwa salama lkn sasa kama siyo wao bas ndugu na jamaa zao wanateseka huku Mugabe akitanua kwa sana, sherehe dailly state house..fikiri kwa kutumia bongo yako acha kuitika kila nyimbo inayopigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toeni kwanza kibanzi kilichopo ndani ya jicho lenu ndipomtakapokuwa na uhalali wa kukisema kibanzi cha Lissu.
 
Cha ajabu umeishia ku quote vipengele tu,hujawahi hata kushinda kesi yoyote kama wakili mahakamani. Ajabu sana

Tombatomba idevice Model TH 45
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…