Hata kama una haki....

Kati ya mtu ambaye mimi humheshimu sana kwa kubalance mambo ni Nyani Ngabu but awamu hii nafikiri kuna mtu anatumia id yake

Nikupe orodha ya mada zangu zote ninazomchana Magufuli humu?
 
Mkuu umepinda kweli kweli. Mbona Magu anaukabila udini ukurupukaji uropokaji na wewe humshauri? .Unaendeleza kinachojulikana cha uoabila. Mingosha ndivyo mlivyo.
 
Hivi mtu unajenga Chato International Airport kwa ajili ya nani na kwa routes zipi huko Chato?

Unaelewa maana ya international???
 
Hivi mtoa mada una akili sawasawa,?au unaona wasomaji wote wa mitandao ni mazoba kama watu fulani?hivi wanaopaswa kutujuza alipo ben saanane ni chadema waliopotelewa na kijana wao au ni dola yenye mamlaka ya kulinda raia na mali zao?na ikiwa dola inamjua yeyote aliyehuska na upotevu wa ben ni jukumu la dola kumkamata wala sio jukumu la raia yeyote kumkamata na hata mbulula wenzako wanajua hivyo ila mnajitoa fahamu,hivyo tambua haki ya ben haitapotea iko siku wakulu watasimama kwenye kizimba wakitakiwa kujibu tuhuma hizi na nyinginezo,kama hujui hili uliza yaliyomkuta HISENE HABRE aliyekuwa rais wa CHAD
Kama mlivyompoteza Ben Saanane

Kama mlivyompoteza Ben Saanane


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Busara maana yake nini?
unaitambuaje hiyo busara?
Inapimwaje hiyo busara?
Nani na nani nchi hii wanayo hiyo busara?

Na ni nani anayesema au mwenye mamlaka ya kusema au judge kuwa busara imetendeka? Na maneno haya "hekima na busara" yanatoka kwa Nyani Ngabu. Maana yake ama he is working for JPM au naye ni sehemu ya ukabila unaozungumzwa na Lissu. Kwani kumwambia kiongozi kama Lissu kwamba "ana ropoka ropoka kama mwendawazimu" ndiyo "hekima na busara"? Notice that maneno "kuropoka ropoka" hutumiwa sana na Rais JPM kuwasimanga wapinzani wake. Pengine Nyani Ngabu ndiye mshauri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…