SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Hakuna usijitete hata sisi tunapendwagwa tu ila jana ilikuwa ndio uthibitisho ukiona haujadhibitiwa ogopa unaishi kwa mawazo sio kwa kujiamini yaani hata dada ako hawezi kusema bro happy valentine njoo untwe kabia unagunduKwa wengine EVERYDAY IS A VALENTINE.
Sasa kazi kwenu nyie mnaosubiri tarehe 14.
Mimi jana mwaya nilikuwa nimelala nawatch movie ya titanic mwishowe starring wakiume akafa wakike akabaki .Ingawa sijaelewa ulichoandika ila i can feel your pain.
Pole dada.
Huna hela broo hela ingekufanya ushereke tajiri anasherekea kila shereheMimi watu wanaoichukulia serious hiyo siku nawaona ni kama wanakuwa hawana kazi ya kufanya.
Hivyo vitu wanaviweza wazungu sisi ngozi ya t∆ko tunadandia tu train kwa mbele hatujui hata vinakoelekea zaidi ya kuishia kufanya ngono zembe kuzoa mimba zisizotarajiwa na maradhi yasiyotibika.
Nipo busy.Ulipotelea wapi?😃
Hakuna wapi kunitetea tuWengine kila siku kwao ni valentine
Wewe sema hunaebda popote wla hakuna aliyekutafutaBahati nzuri demu wangu ni geti kali, anatumia shmu weekend to weekend, jana kanitafuta, tumeongea kwa zaidi ya 2hrs na mwisho akaniambia atanitafuta next weekend ila hakusita kuniambia, valentine day njema,na kwarezima njema tarehe 18, huku akisindikiza kwa ujumbe maridhawa ambao kwa hakika sitaufuta mpaka anitafute tena "nakupenda sana,nakutakia jioni njema my bye!!"
Hela kwani hiyo sherehe budget yake ni trillion ngapi hata wengine tushindwe kuisherehekea?Huna hela broo hela ingekufanya ushereke tajiri anasherekea kila sherehe
UnajiteteaHela kwani hiyo sherehe budget yake ni trillion ngapi hata wengine tushindwe kuisherehekea?
Ni vile tu ninajitambua mimi Mwafrika huwezi ukanielekeza eti niwe na siku moja tu maalumu ya kumuonyesha mapenzi mke wangu ninayeishi nae mwaka wa 14 huu wakati mapenzi tunaonyeshana kila siku siku tukipishana kauli ndiyo hivyo tunawekana sawa maisha yanaenda.
Me ndiye nakwambia mkuu!Wewe sema hunaebda popote wla hakuna aliyekutafuta
Hapa umepiga kwenye mshono mkuuKwa wengine EVERYDAY IS A VALENTINE.
Sasa kazi kwenu nyie mnaosubiri tarehe 14.