Hata ka- pc kanachemka sana mpaka sio vizuri.

Hata ka- pc kanachemka sana mpaka sio vizuri.

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,116
Reaction score
5,370
ushauri please, ni hp 3125 beatsaudio, mwanzo ilikuwa na win8, but kuna kipindi nikampa mtu akaweza win7 hapo pote ilikuwa fresh tu, sasa last month nikaweka win8.1 ilianza kufanya kazi vizuri iko faster lakini sasa imeanza kuchemka sana na kupiga kelele, yani feni inatoa sauti mpaka kero kama desktop.
Je tatizo litakuwa ni hii windows su ni nini wakuu maana mi kelele yake ndio inaniboa sana kuliko hata hilo joto.
 
Back
Top Bottom