Hata huyu sikutegemea avae kisela msibani

Hata huyu sikutegemea avae kisela msibani

Nyie manyang'au mnaosema suti. Kwani mleta mada kataja specific avae suti? Tatizo lenu mnao-argue ni vitoto vya juzi. Huwezi kuvaa kapelo tukio la namna hiyo. Angevaa shati la heshima na sio hizo dude ambazo ni informal dress. Mnaenda shule kusomea ujinga.
 
Huyu kijana ndoo uvaaji wake,hata mzee Mengi alikuwa anajua,
Kupitia interview moja akiwa msibani niliskia anasema,
Kuna kipindi akiwa anafanya kazi ITV mzee mengi alimwita akamwambia
"Acha kavaa mashati makubwa"

Ndugu huenda humfahamu vizuri unaemlaumu,huenda hujui haiba yake katika uvaaji mavazi.
Mara nyingi hivyo ndivyo anavyovaaga na hapo kwakwe yeye kapendeza kiasi cha kufaa kwenda nazo msibani.

Millard sio mvaaji wa Suti,
Mara ya mwisho kuvaa suti nimeona alivaa kipindi anafanya interview na ommy dimpoz wakati ule anaumwa koo.

Naomba unitafutie picha 10 za huyu kijana akiwa kavaa suti tofautitofauti,zawadi nono utapatiwa.
Kazi njema,
Acha kulaumu kabla hujafanya utafiti.
Hakuna kitu kinaitwa ndio uvaaji wake..Stupid!
Kwa hiyo mfano wewe your fav dress ni jeans kwa hiyo na employer wako akuache kwa kuwa ni kawaida yako? Unavaa kulingana na event/mahitaji ya sehemu husika. Grow up kid!
 
Acha ujinga,sasa hapo alivaa bikini,
Colour code ya mazishi ilikuwa ni IPI na yy alivaa IPI?
Jinga kabisa,alichokosea yy pale ni kipi?
Avulie kofia maiti?

Haya sasa hajavua,Je ardhi ilitikisika kwa kutokuvua hiyo kapelo?
 
Acha ujinga,sasa hapo alivaa bikini,
Colour code ya mazishi ilikuwa ni IPI na yy alivaa IPI?
Jinga kabisa,alichokosea yy pale ni kipi?
Yaani wewe ni hopeless..Mimi nimezungumzia rangi??? Na quit nimekuona ni mjinga kabisa.
 
Yaani wewe ni hopeless..Mimi nimezungumzia rangi??? Na quit nimekuona ni mjinga kabisa.
Peleka uboya wako huko...
Ulitaka avue kofia,kofia ndo ingemfufua?
 
Ujana maji ya moto...

Wazungu wanasema foolish age!

Spichi ndefuuuu za "baba Mengi" alisaidia hivi alinifanya vile, kwenye mazishi mnashindwa hata kuvua kapelo na kumvalia shati decent!

59821618_325280971424272_6143491486139809792_n.jpg

Vijana wameshaamua sehemu za misibani na shereheni ni za kujionyesha zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom