Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Hata uwe na hela kiasi gani huwezi kumzidi Bishanga
Hata ukikaa miaka kumi bila kuendesha basikeli (Kama uncle Kaizer) huwezi sahau how to pedal
Hata uwe mshari kiasi gani (kama Mphamvu) huwezi kugombana na Mwali
Hata uwe serious kivipi (Kama Kiranga) huwezi vaa sura ya kazi ukiwa jobless
Hata uwe umekosa idea za biashara (Kama The Boss) huwezi fungua duka la tatoo south sudan
Hata uwe hodari kiasigani (kama Husninyo) huwezi osha vyombo vya habari
Hata uwe hujui kiswahili (kama Fang) huwezi sema ulidhani binti wa mama nitilie anaitwa Nitilie!
Hata uwe na haraka vipi (Kama Nyani Ngabu) huwezi ruka line VCT
Hata uitwe Uhuru (kama Kenyatta) bado unaweza pelekwa jela ICC
Hapa hata kama utabisha (Kama Gaijin) huwezi kosa kunigongea like japo kimoyomoyo
Big up Mwali!
Last edited by a moderator: