Endeleeni
Hata uwe na jinsia mbili huwezi kujifanya matusi!
hahahahah.....mpeni ban huyu mtu jamani coz kanichekesha mpaka nimekufa
Hahahaaaaaa Deejay nasmile cheka unenepe na ban sipati
Hata uwe na njaa vipi, huwezi kula Upepo.
Hata uwe na uroho wa kiasi gani, huwezi kuonja sumu.
Mbona zako zimekaa kututamanisha mambo ya maakuli???
Halafu ujue nimekumiss sana wewe...mza lakini???
Hata kuwe na giza vipi, mkono haukosei kupeleka tonge kinywani...
Hahahaaaaaa Deejay nasmile cheka unenepe na ban sipati
Mie mbona mzima tuuuuuuuu...........
Mie Dsm kabisa, hofu kwako.
Hata uwe na jinsia mbili huwezi kujifanya matusi!
we mbona huendeleei