Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
Natoa huduma ya kumwambia kila mtu kundi lake..
Nianze na nani?
Tanmo, jela umeingia lini?
Natoa huduma ya kumwambia kila mtu kundi lake..
Nianze na nani?
Siwezi kujihukumu, ushiriki wangu ndani ya JF ndo unaweza kutoa majibu! Nachangia nini napost nini nalike nini vyote hivyo ndio vinaweza kuniweka kwenye kundi mojawapo kati ya hayo
Mpaka kule jikon nakuonaga
sema dada!Natoa huduma ya kumwambia kila mtu kundi lake..
Nianze na nani?
Hii inakuhusu:Anza na mimi mkuu TANMO then uniambie malipo bei gani kama utafanikiwa au kukaribia na ukweli.
MATUMBO JOTO :hawa bila kujali ni wakongwe au la ni watu wa kupaniki na kupata jakamoyo hata kwa kitu kidogo tu kwenye post zao, akipost kitu atatamani kila wakati aingie jamvini aangalie nani kareply nini! Ole wako uende kinyume na msimamo wake
Wewe ni kama Mkuu bilyHalafu afuatie mimi then bujibuji
MASHABIKI DAMU :Hawa huwezi kuwaambia kitu kuhusu JF, wakikaa saa nzima bila kuchungulia forumuni wanakuwa kama wagonjwa muda wote wapo hata iwe ni usiku wa manane wanapost wanalike wanapm, kila kona ya JF wapo, usiwacheke usiwabeze ni mashabiki damu
Bado Mkuu,Tanmo, jela umeingia lini?
sema dada!
anza na mume excel!
WAJIVUNI :Hili ni tabaka ndani ya JF ambao wao wanajioni ni 'untouchables ' wao ndo wao wao ndio wanajua kupost vitu vya 'maana ' wao ndio wenye hekima wanajiona wao ndio JF na JF ndio wao, hawawakubali newcomers hasa wenye misimamo tofauti na yao
WANAOVUTIWA :Hawa saa nyingine wanachekesha kwelikweli huwa hawaangalii kimepostiwa nini wao wanaangalia kapost nani! Kwao maudhui si tija, tija ni nani kapost
ah SAYANSIKIMU anahusika....
Angel Nylon, sorry sweet friend, i didnt mean to talk that thing that much... mi si mshabik wa religion misunderstandings..
please do not misunderstand me my dear friend.. have a good day.
Excel we had an appointment this weekend lakini
oh! so sorry brother, am on a move to the lake zone, i'm about to do my field work and research on some issues facing my career...
we shall see on that when i come back on november..
mambo vp lakini kaka? kwema?[/QUOTE
All the best n bon voyage kaka kwema kabisaa....!!!