Hata hamnimiss!!!

ukiuchukua ukoo wa mume wangu wako lukuki yaani kuna wajomba 40, mashangazi 60, mabinamu10, mamamkubwa 10, mamamdogo 20, wajukuu, 71, sasa funga kazi kwa mawifi ndo usiseme ni utitiri mtupu ikanibidi niombe nauli kesho yake nirudi home yaani nimechokaje na ukoo ule wewe acha tu
Kwa hiyo ladystito mpo wangapi?
 

Hahhaa...samahani hebu ngoja nikunong'oneze...'shemeji yupo humu jf?'
 
M.E.M.A nazidi kuwaza ulivyonikumbuka ukanipa zawadi. Asante.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…