Nilimwita Mbowe siku moja nikamuuliza e Bwana ee, CHADEMA kuna nini?
Mbona wanaCHADEMA niliokuwa nawajua wakati wa Dr Slaa mbona si wao?
Kulikuwa na mikutano nchini kila wakiitisha Serikali inaweka MASIKIO.
Inasikiliza leo kutatokea nini?
Alikuwa Dr Wilbrod Slaa nadhani.
Alikuwa akisema, kila mtu anasikia.
Tanzania yote walikuwa wanajua leo CHADEMA wametoa maneno.
Nikasema siku hizi mkoje?
Mbona MMELEGEA?
Nasema MMELEGEA sio kwa bahati mbaya.
Wale wazungu waliowadanganya kuwa UFISADI sio ajenda ya watanzania waliwaingiza CHAKA.
Mkajikuta mnabeba MAFISADI ya CCM na kujikuta mmepoteza kuaminiwa na UMMA.
Hivi kweli PEOPLES POWER siku hizi inasubiri kuruhusiwa?
au siku hizi PEOPLES POWER IMEPOTEZA maana?
Haya waoneshesheni mfano hao mnaowachochea ndo tujue kuwa ninyi HAMJALEGEA