Hata CHADEMA hii sio ile ya Dr Slaa

Mwambieni sizonje aondoe zuio la mikutano ya hadhara muone moto wa chadema. Kama kukusanyika tu kwenye misiba hawaruhusiwi unategemea nini

Kwa hiyo unakiri CHADEMA ya LOWASA imekuwa LEGELEGE?
No more PEOPLES POWER?
Inasubiri HURUMA ya SIZONJE?
 
rudi shule kajifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
Afadhali umeona BORA uanze kuangalia herufi tu.
Ukweli ni kuwa CHADEMA ya MAFISADI imekuwa LEGELEGE
No more PEEEEEEEEPLES POWER mbele ya Sizonje.
wachocheeni waislamu misikitini tu wakati wenyewe siku hizi hata maandamano ya UKUTA yameishia vyumbani mwenu,
SHAME!
CHADEMA Original haijawahi kuwa hivi. Mmewasaliti waTanzania kwa kubeba MIFISADI ya fisiem.
 
Hivi unataka Chadema wanaojenga hoja wakabiliane na risasi na mabomu ya polisi? Wakati mwingine mnaolaumu tumieni hata akili kidogo tu mlizo nazo za kwendea chooni. Kama Dr. Slaa angekuwepo yeye ndiye angehimili risasi na mabomu ya polisi? Wacheni ujinga wenu tumewachoka.

Wakati ule kabla CHADEMA haijanajisiwa na MAFISADI ya CCM Lema alituaminisha kuwa Hakuna Risasi wala Mabomu yaliyowahi kushinda PEOPLES POWER.
Au siku hizi PEOPLES POWER haipo tena CHADEMA ya LOWASA.
Mnabisha tu lakini mioyoni mnakiri kweli CHADEMA ya LOWASA ni LEGELEGE.
 
Nilimwita Mbowe siku moja nikamuuliza e Bwana ee, CHADEMA kuna nini?

Mbona wanaCHADEMA niliokuwa nawajua wakati wa Dr Slaa mbona si wao?

Kulikuwa na mikutano nchini kila wakiitisha Serikali inaweka MASIKIO.

Inasikiliza leo kutatokea nini?

Alikuwa Dr Wilbrod Slaa nadhani.

Alikuwa akisema, kila mtu anasikia.

Tanzania yote walikuwa wanajua leo CHADEMA wametoa maneno.

Nikasema siku hizi mkoje?

Mbona MMELEGEA?

Nasema MMELEGEA sio kwa bahati mbaya.

Wale wazungu waliowadanganya kuwa UFISADI sio ajenda ya watanzania waliwaingiza CHAKA.

Mkajikuta mnabeba MAFISADI ya CCM na kujikuta mmepoteza kuaminiwa na UMMA.

Hivi kweli PEOPLES POWER siku hizi inasubiri kuruhusiwa?

au siku hizi PEOPLES POWER IMEPOTEZA maana?

Haya waoneshesheni mfano hao mnaowachochea ndo tujue kuwa ninyi HAMJALEGEA
Magufuli kapiga marufuku mikutano hawapo huru, Lipumba analipwa na kulindwa na CCM kwa ajili ya kudhoofisha upinzani, huyo babu Slaa alinunuliwa kwa Dola milion 2 na CCM akatorokea canada, sasa unataka chadema wafanye miujiza gani mbele ya hujuma lukuki za CCM?
 
Mambo huwaga yanabadilika. Chadema walimshambulia Lowasa kuwa ni fisadi aliyekubuhu lakini ndio walimsimamisha kama mgombea wao wa urais na mpaka leo wanamsujudu kama mungu.
Lowasa alikuwa akichafuliwa na kikwete kisha Wapinzani wakaamini ni kweli lakini Lowasa alipohamia chadema alianika Ukweli wote kwa kuwaelezea kuwa Richmond ni ya kikwete ndipo wakampokea.
 
Wakati ule kabla CHADEMA haijanajisiwa na MAFISADI ya CCM Lema alituaminisha kuwa Hakuna Risasi wala Mabomu yaliyowahi kushinda PEOPLES POWER.
Au siku hizi PEOPLES POWER haipo tena CHADEMA ya LOWASA.
Mnabisha tu lakini mioyoni mnakiri kweli CHADEMA ya LOWASA ni LEGELEGE.
acha ujinga wako chadema si legelege bali magufuli ndiyo kawa dikteta hataki upinzani wawe huru kufanya mikutano na maandamano, acheni Udikteta wenu muone kama chadema ni legelege Kumbuka kipindi cha kikwete Wapinzani walikuwa huru sana, lakini sasa ni Udikteta umetawala unategemea nini?
 
Hivi unataka Chadema wanaojenga hoja wakabiliane na risasi na mabomu ya polisi? Wakati mwingine mnaolaumu tumieni hata akili kidogo tu mlizo nazo za kwendea chooni. Kama Dr. Slaa angekuwepo yeye ndiye angehimili risasi na mabomu ya polisi? Wacheni ujinga wenu tumewachoka.
Dr Slaa ni Hatari alikuwa na njaa ndiyo maana alipokea Rishwa ya CCM dola milion 2 akatorokea Canada si mfano wa Kuigwa kwanza hicho kizee mihogo kilipora mke wa mtu hata kule Dodoma kiliwahi kufumaniwa na mke wa mtu kwa kifupi Slaa ni mzee wa hovyo sana hasitahili kukumbukwa kwa lolote lile.
 
Yasin21
CCM wanatumia pesa nyingi kudhoofisha upinzani badala ya maendeleo kuna kikundi cha Wajanja CCM Madalali wa siasa kazi yao ni kula pesa za CCM kwa kisingizio cha kuzitumia kudhoofisha upinzani, kwa kifupi Wapinzani wanahujiwa sana na CCM lakini kuna ufisadi mkubwa kupitia hizo hujuma kwani umekuwa ni mladi mkubwa wa Wajanja kupiga pesa za Umma.
 
Eti wamezuiwa kufanya mikutano.
Kwa hiyo CHADEMA ya LOWASA imekuwa LEGELEGE inataka iruhusiwe kufanya mikutano.
No more PEEEEEEEEOPLES POWER!
Kama nyinyi CCM sio kunguru waoga iweje muogope mikutano? Kinachofanyika kupiga marufuku mikutano ni nini? Acheni Udikteta kwenye demokrasia muone kama madhambi yenu yataachwa mafichoni, watanzania wanataka mikataba ya kivuko cha Dsm-Bagamoyo, ujenzi wa Chato Airport, ujenzi wa reli, ukarabati wa bandari na ununuzi wa ndege kwa cash mikataba ijadiliwe bungeni kwa uwazi bila kuruhusu kura za ndiyo za wabunge vilaza wa CCM.
 
Aisee Chadema ya sasa ni mdebwedo kabisa. Wamechokaa ile mbaya.
hata mnyama mkali ukimfungia ndani bila uhuru hudhoofika lakini siku akipata upenye humalizia hasira zake kwa Dikteta, endeleeni kuwanyanyasa Wapinzani lakini ipo siku uchakachuaji wenu utafeli Wapinzani wataingia ikulu na CCM itakuwa kama KANU ya kenya.
 
Magufuli kapiga marufuku mikutano hawapo huru, Lipumba analipwa na kulindwa na CCM kwa ajili ya kudhoofisha upinzani, huyo babu Slaa alinunuliwa kwa Dola milion 2 na CCM akatorokea canada, sasa unataka chadema wafanye miujiza gani mbele ya hujuma lukuki za CCM?
Na NGUVU YA UMMA ilinunuliwa dola ngapi na ikatorokea wapi?
 
acha ujinga wako chadema si legelege bali magufuli ndiyo kawa dikteta hataki upinzani wawe huru kufanya mikutano na maandamano, acheni Udikteta wenu muone kama chadema ni legelege Kumbuka kipindi cha kikwete Wapinzani walikuwa huru sana, lakini sasa ni Udikteta umetawala unategemea nini?

Kwa hiyo NGUVU YA UMMA imeshindwa na UDIKTETA?
Kwa hiyo CHHADEMA ilikuwa inasingizia NGUVU YA UMMA kumbe ilikuwa ni kwa sababu kulikuwa na Rais dhaifu?
 
Kama nyinyi CCM sio kunguru waoga iweje muogope mikutano? Kinachofanyika kupiga marufuku mikutano ni nini? Acheni Udikteta kwenye demokrasia muone kama madhambi yenu yataachwa mafichoni, watanzania wanataka mikataba ya kivuko cha Dsm-Bagamoyo, ujenzi wa Chato Airport, ujenzi wa reli, ukarabati wa bandari na ununuzi wa ndege kwa cash mikataba ijadiliwe bungeni kwa uwazi bila kuruhusu kura za ndiyo za wabunge vilaza wa CCM.
Kumbe kuna mtu anaweza akapiga marufuku PEOPLES POWER?
 
Nilimwita Mbowe siku moja nikamuuliza e Bwana ee, CHADEMA kuna nini?

Mbona wanaCHADEMA niliokuwa nawajua wakati wa Dr Slaa mbona si wao?

Kulikuwa na mikutano nchini kila wakiitisha Serikali inaweka MASIKIO.

Inasikiliza leo kutatokea nini?

Alikuwa Dr Wilbrod Slaa nadhani.

Alikuwa akisema, kila mtu anasikia.

Tanzania yote walikuwa wanajua leo CHADEMA wametoa maneno.

Nikasema siku hizi mkoje?

Mbona MMELEGEA?

Nasema MMELEGEA sio kwa bahati mbaya.

Wale wazungu waliowadanganya kuwa UFISADI sio ajenda ya watanzania waliwaingiza CHAKA.

Mkajikuta mnabeba MAFISADI ya CCM na kujikuta mmepoteza kuaminiwa na UMMA.

Hivi kweli PEOPLES POWER siku hizi inasubiri kuruhusiwa?

au siku hizi PEOPLES POWER IMEPOTEZA maana?

Haya waoneshesheni mfano hao mnaowachochea ndo tujue kuwa ninyi HAMJALEGEA
Kichwa cha habari,"hata chadema"
Hapo unajaribu kukinganish CDM na nani?Ni nani yuko hivyo mpaka useme"hata Chadema"?
 
Dr Slaa ni Hatari alikuwa na njaa ndiyo maana alipokea Rishwa ya CCM dola milion 2 akatorokea Canada si mfano wa Kuigwa kwanza hicho kizee mihogo kilipora mke wa mtu hata kule Dodoma kiliwahi kufumaniwa na mke wa mtu kwa kifupi Slaa ni mzee wa hovyo sana hasitahili kukumbukwa kwa lolote lile.
Pima
Lowasa badala ya Slaa
Masshinji badala ya Zito

dola mil 2 ni majungu tu, lakini Richmond ni matokeo ya tume ya Bunge la JMT

.
 
Back
Top Bottom