Hata CHADEMA hii sio ile ya Dr Slaa

Chintu

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
5,437
3,457
Nilimwita Mbowe siku moja nikamuuliza e Bwana ee, CHADEMA kuna nini?

Mbona wanaCHADEMA niliokuwa nawajua wakati wa Dr Slaa mbona si wao?

Kulikuwa na mikutano nchini kila wakiitisha Serikali inaweka MASIKIO.

Inasikiliza leo kutatokea nini?

Alikuwa Dr Wilbrod Slaa nadhani.

Alikuwa akisema, kila mtu anasikia.

Tanzania yote walikuwa wanajua leo CHADEMA wametoa maneno.

Nikasema siku hizi mkoje?

Mbona MMELEGEA?

Nasema MMELEGEA sio kwa bahati mbaya.

Wale wazungu waliowadanganya kuwa UFISADI sio ajenda ya watanzania waliwaingiza CHAKA.

Mkajikuta mnabeba MAFISADI ya CCM na kujikuta mmepoteza kuaminiwa na UMMA.

Hivi kweli PEOPLES POWER siku hizi inasubiri kuruhusiwa?

au siku hizi PEOPLES POWER IMEPOTEZA maana?

Haya waoneshesheni mfano hao mnaowachochea ndo tujue kuwa ninyi HAMJALEGEA
 
Alikujibuje mkuu?
 
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
 
Ina maana HAMJALEGEA kama wale aliokuwa anawahubiria LOWASA msikitini?
Testini zari kwa JPM tuwaone basi?
Mnachochea wenzenu wakati nyie wenyewe CHOKA MBAYA!
Shida ya nyie watu wa Pwani maendeleo yenu ni chakula na hivi hamlipi ada ya primary ndiyo basi kabisa mnaona kuna maendeleo makubwa sana sababu ya uvivu wenu, kwa sisi watafutaji tunataka maendeleo haswa.
 
Hivi unataka Chadema wanaojenga hoja wakabiliane na risasi na mabomu ya polisi? Wakati mwingine mnaolaumu tumieni hata akili kidogo . Kama Dr. Slaa angekuwepo yeye ndiye angehimili risasi na mabomu ya polisi? Wacheni ujinga wenu tumewachoka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nilimwita Mbowe siku moja nikamuuliza e Bwana ee, CHADEMA kuna nini?

Mbona wanaCHADEMA niliokuwa nawajua wakati wa Dr Slaa mbona si wao?

Kulikuwa na mikutano nchini kila wakiitisha Serikali inaweka MASIKIO.

Inasikiliza leo kutatokea nini?

Alikuwa Dr Wilbrod Slaa nadhani.

Alikuwa akisema, kila mtu anasikia.

Tanzania yote walikuwa wanajua leo CHADEMA wametoa maneno.

Nikasema siku hizi mkoje?

Mbona MMELEGEA?

Nasema MMELEGEA sio kwa bahati mbaya.

Wale wazungu waliowadanganya kuwa UFISADI sio ajenda ya watanzania waliwaingiza CHAKA.

Mkajikuta mnabeba MAFISADI ya CCM na kujikuta mmepoteza kuaminiwa na UMMA.

Hivi kweli PEOPLES POWER siku hizi inasubiri kuruhusiwa?

au siku hizi PEOPLES POWER IMEPOTEZA maana?

Haya waoneshesheni mfano hao mnaowachochea ndo tujue kuwa ninyi HAMJALEGEA

Yeye akakujibuje?
 
Mwambieni sizonje aondoe zuio la mikutano ya hadhara muone moto wa chadema. Kama kukusanyika tu kwenye misiba hawaruhusiwi unategemea nini
 
Wajipange tena sana coz Hawana cha kusema majukwaani kwa sasa over and out,
 
Back
Top Bottom