Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,787
- 218,415
OCD ni kiumbe mdogo sana kwa Nguvu ya wananchi alikuwa anathibitisha upuuzi wake tuuAmesha ambiwa hashindi acha awasindikize wenzake
Mbowe anashinda wasiwasi ni yule mwenye broken english, anatakiwa aachie nafasi awahi kwa ras simba umri unakimbia.Amesha ambiwa hashindi acha awasindikize wenzake
Kwenye vyeo vya kipolisi OCD ni cheo kidogo sana .Amesha ambiwa hashindi acha awasindikize wenzake
Umechelewa wapi?Fafanua. Amedhalilishwa vipi?
Ahaaaaaaaaaaaaa ErythrocyteAmeshaambiwa hashindi, acha awasindikize wenzake.
Kwanini anatembea na tiketi mfukoni ?Polisi ni Mali ya ccm
Kwani na wewe ni Polisi duni kama yule ocd ?Kumbe kuambiwa "Huwezi kumshinda" ni kudhalilishwa.
Naamua kukudhalilisha pia, Kwa hoja "Huwezi kunishinda:
PhD holder kimombo kinampa tabuMbowe anashinda wasiwasi ni yule mwenye broken english, anatakiwa aachie nafasi awahi kwa ras simba umri unakimbia.
Usimuamshe aliyelalaPolice na ccm awaelewi kete za upinzani wapinzani wanakusanya ushahidi kila matendo na matukio yote wanayotendewa ili kutengeneza ushahidi mzuri ambao polisi na ccm hawawezi chomoka uzuri technology utunza kila kitu ili siku ya mwisho usiseme umeonewa, maana utaonyeshwa live "we si ndo umesema piga bomu" au huyu nani" hakuna ushahidi mbaya sana Kama wa recording, Kama ule wa wasaliti huwa wanafanya nini" hapa unachomakaje sasa.
Sisi yetu ni kuipongeza tu polisi walizidi kutengeneza ushahidi kwa matendo yao ya kuwanyanyasa wapinzani.
Wanameza mitegoUsimuamshe aliyelala