livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 970
Salaam JF,
Nimechukua muda wa kama miezi 3 tu kujua hii kauli inayotolewa na wanawake kwamba "HATA JAMAA AKICHEAT NI YEYE KIKUBWA ANANIPENDA NA KUNIHUDUMIA" kuwa ni ya kimkakati.
Mwanamke anaesema hii kauli ni wa kuchungwa haswa yule anaeweza kumwambia bwana ake uso kwa uso..." BABE HATA UKINICHEAT MI SIWEZI KUUMIZA KICHWA ILI MRADI UNANIJALI NA KUNIHUDUMIA"
Waongo bwana.
Wanajificha kwenye kichaka Cha matembele.
Hii kauli inakufanya mwanaume ujione hata ukikusanya Kijiji babe Hana time na wewe afu yeye yupo vizuri katulia. Nop, wanaliwa mbaya mbovu...ni kauli ya kukuzubaisha usimuwazie mabaya yeye.
Kama unataka kuamini, ukimsikia mwanamke anasema hii kauli, we jaribu kumuingiza box uone.
Kati ya 10, watakaokataa hawafiki hata 3.
Sema wanapiga vizinga daily kwa sababu anajua wewe unajua status yake (upwiru sio tatizo kwake maana ana mtu) na bado unamtaka.
Hii ni according to research ya miezi 3 tu.
Binafsi ukiniambia hiyo kauli ndio inakuwa a red flag
.
Kwa sababu sometimes anasema hiyo kauli na unakuwa sio mchepukaji.

.Kwa sababu sometimes anasema hiyo kauli na unakuwa sio mchepukaji.