Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,921
akasha brothers boss wao kafungwa miaka 25,yule na ushahidi wa video upo wazee waliitoa wazi kabisa kila mtu aione, walipose kama wao ni mawakala wa mzee mzima elchapounamzungumzia mchungaji Chukwudi Okechukwu wa LORD CHOSEN CHURCH la pale Kinondoni siku mmoja mzee kikwete alimuongelea kuhusu viongozi wa dini kujihusisha na DRUGS, Uzuri wa kikwete alikUwa ana deal nao Drugs Baron kimya kimya
ADAM TIKO alikamatwa lakini hapakuwa na ushahidi wa kutosha akaachiwa,alikamatwa tena kwa ushaidi wa CIA kuwa aliwahi kufanya nao biashara ya mzigo mkubwa 2012 nchini africa kusini( aliombwa na USA gvt amehukumiwa miaka 4 JELA)
ukweli mchungu ni kwamba BALKAN SOUTHERN ROUTE(afrika mashariki ) ya drug traffic ina mkono wa CIA ,ndio maana wakikamatwa wanawadai kuwa wanahitajika kusafirishwa marekani ,the wanafungwa vifungo vifupi wanarudi tena kwenye biashara
Kingpins wa hii route ni kina AKASHA Brothers,Joho BROTHERS na JOHN HARUN MWAU
kwa sheria za sasa ukidakwa na serikali ya magufuli umeisha ,tarajia LIFE IMPRISONMENT.
Ila DCEA TUWAPE HEKO wamesambaratisha mitandao yote mikubwa