Utata wagubika baada ya askari anayepambana na madawa ya kulevya kushushwa cheo

waziri2020

Senior Member
May 31, 2019
190
451
lol Mnamo Mwaka 2018 Askari Na E6767 CPL Meshack Samson Laizer aliotoa taarifa ya kizalendo kwenye kikao Cha aliekuwa naibu waziri wa Mambo ya ndani Hamad Masauni kuwa Kuna baadhi ya Askari polisi wanaosindikiza madawa ya kulevya kwakutumia magari ya polisi ikiwepo kuwalinda wahalifu .

Baada ya hapo walifunguliwa jalada la uchunguzi wakabainika nakuhamishiwa wilaya zingine Hata hivyo Askari huyu mzalendo aliundiwa kesi ya utovu wanidhamu nakushitakiwa kwakupigwa nakuwekwa mahabusu siku tatu Kisha kuvuliwa cheo chake Cha coplo nakubaki constebo .

Askari hyo hakukata tamaaa akalalamika ikaja tume ambapo mwishowe aliinekana kaonewa akapa ndishwa cheo kuwa Sajenti Hata hivyo Askari huyo alizidi kupambana na wahalifu mbalimbali wa madawa ya kulevya watoa Rushwa wakiwepo Askari watoroshaji wa madini hatimae akavishwa cheo TAREHE 22/12/2019 Cha Staff Sajenti kwa kukataa Rushwa ya sh 10,000,000 milioni kumi licha ya kuonewa hivyo IGP hakufurahishwa na kitendo hicho kwani hakuwahi kulipwa mshahara wacheo hicho Hata hivyo hakukatishwa tamaa bali aliendelea kutumikia jeshi vizuri Hadi viongozi kumtunuku vyeti mbalimbali za utumishi uliotukuka napia Kutoka sehemu Taasisi mbalimbali ikiwepo Taasisi ya kupambana na Rushwa chakushangaza alipendekezwa cheo Cha SM yaani RSM IGP kakataa na pia akamuundia kesi akamvua cheo Cha staff sagenti aliooewa kwakukataa Rushwa ya milioni kumi na pia aliwahi kukamata watoa Rushwa matukio mawili tofauti pia alifanikisha kutokomeza maafisa waliokuwa wakitoa leseni ya udereva kwa mtu asiejua kuendesha gari kwa Bei ya shilingi laki tano Inasikutisha mnoo kitendo alichofanyiwa wanajaribu kuzima ndoto zake za kutokomeza uhalifu Nchini.

Sisi kama ndugu zake tumesikitishwa sana na kinachoendelea ndani ya jeshi la polisi na tunaomba mamlaka husika sasa akiwemo lRais Samia Suluhu Hassan waingilie kati kwa kuwa haya yanayoendellea yanavunja moyo askari wazalendo .

Mwisho

035BB5B2-4347-4044-803C-B24A1C28878C.jpeg

FE39D41B-B419-43C9-995C-E7DD2FB3A761.jpeg
 
Pengine kafanya kosa fulani. Kupandishwa sio kizuizi cha kutochukuliwa hatua ukifanya kosa, ikiwa ni pamoja na kushushwa cheo.

Kama hakuridhika amuandikie Afande IGP
 
lol Mnamo Mwaka 2018 Askari Na E6767 CPL Meshack Samson Laizer aliotoa taarifa ya kizalendo kwenye kikao Cha aliekuwa naibu waziri wa Mambo ya ndani Hamad Masauni kuwa Kuna baadhi ya Askari polisi wanaosindikiza madawa ya kulevya kwakutumia magari ya polisi ikiwepo kuwalinda wahalifu .

Baada ya hapo walifunguliwa jalada la uchunguzi wakabainika nakuhamishiwa wilaya zingine Hata hivyo Askari huyu mzalendo aliundiwa kesi ya utovu wanidhamu nakushitakiwa kwakupigwa nakuwekwa mahabusu siku tatu Kisha kuvuliwa cheo chake Cha coplo nakubaki constebo .

Askari hyo hakukata tamaaa akalalamika ikaja tume ambapo mwishowe aliinekana kaonewa akapa ndishwa cheo kuwa Sajenti Hata hivyo Askari huyo alizidi kupambana na wahalifu mbalimbali wa madawa ya kulevya watoa Rushwa wakiwepo Askari watoroshaji wa madini hatimae akavishwa cheo TAREHE 22/12/2019 Cha Staff Sajenti kwa kukataa Rushwa ya sh 10,000,000 milioni kumi licha ya kuonewa hivyo IGP hakufurahishwa na kitendo hicho kwani hakuwahi kulipwa mshahara wacheo hicho Hata hivyo hakukatishwa tamaa bali aliendelea kutumikia jeshi vizuri Hadi viongozi kumtunuku vyeti mbalimbali za utumishi uliotukuka napia Kutoka sehemu Taasisi mbalimbali ikiwepo Taasisi ya kupambana na Rushwa chakushangaza alipendekezwa cheo Cha SM yaani RSM IGP kakataa na pia akamuundia kesi akamvua cheo Cha staff sagenti aliooewa kwakukataa Rushwa ya milioni kumi na pia aliwahi kukamata watoa Rushwa matukio mawili tofauti pia alifanikisha kutokomeza maafisa waliokuwa wakitoa leseni ya udereva kwa mtu asiejua kuendesha gari kwa Bei ya shilingi laki tano Inasikutisha mnoo kitendo alichofanyiwa wanajaribu kuzima ndoto zake za kutokomeza uhalifu Nchini.

Sisi kama ndugu zake tumesikitishwa sana na kinachoendelea ndani ya jeshi la polisi na tunaomba mamlaka husika sasa akiwemo lRais Samia Suluhu Hassan waingilie kati kwa kuwa haya yanayoendellea yanavunja moyo askari wazalendo .

Mwisho

View attachment 2052633

View attachment 2052634
Hii ndio Tanzania ya kizalendo.
 
Mtoa mada bado taarifa yako haijakaa vizuri hasa kutetea kichwa cha habari yako
 
Usikate tamaaa

Ipo siku utakuwa juu nahsi mtu kama ww ukipata nafasi utawanyooshaaa

Ova
 
Huyo Sirro nae ang'olewe ana element za kichawa chawa toka utawala uliopita
 
Back
Top Bottom