Hassan Aziz akamatwa na madawa ya kulevya 1kg

unamzungumzia mchungaji Chukwudi Okechukwu wa LORD CHOSEN CHURCH la pale Kinondoni siku mmoja mzee kikwete alimuongelea kuhusu viongozi wa dini kujihusisha na DRUGS, Uzuri wa kikwete alikUwa ana deal nao Drugs Baron kimya kimya

ADAM TIKO alikamatwa lakini hapakuwa na ushahidi wa kutosha akaachiwa,alikamatwa tena kwa ushaidi wa CIA kuwa aliwahi kufanya nao biashara ya mzigo mkubwa 2012 nchini africa kusini( aliombwa na USA gvt amehukumiwa miaka 4 JELA)
ukweli mchungu ni kwamba BALKAN SOUTHERN ROUTE(afrika mashariki ) ya drug traffic ina mkono wa CIA ,ndio maana wakikamatwa wanawadai kuwa wanahitajika kusafirishwa marekani ,the wanafungwa vifungo vifupi wanarudi tena kwenye biashara
Kingpins wa hii route ni kina AKASHA Brothers,Joho BROTHERS na JOHN HARUN MWAU

kwa sheria za sasa ukidakwa na serikali ya magufuli umeisha ,tarajia LIFE IMPRISONMENT.
Ila DCEA TUWAPE HEKO wamesambaratisha mitandao yote mikubwa
akasha brothers boss wao kafungwa miaka 25,yule na ushahidi wa video upo wazee waliitoa wazi kabisa kila mtu aione, walipose kama wao ni mawakala wa mzee mzima elchapo
 
hatari, ivi Chonji alishatoka jela, chonji unajua alikuwa jela pale keko, nasikia akanunua tenki moja ya maji litre kama 10000, akapiga rangi baadhi ya kuta za mne ndani, sasa akaomba awe anatoa mikate asubui mahabusu wanywe na uji wa dona, maana mne asubui huwa wanakunywa uji wa Dona bila kitafunwa, Kwaiyo akaomba awe anawapa mikate, siunajua nje chonji ana miradi yake anaendesha mkewe,,
nasikia Mkuu wa gereza akamuambia hiz unazoleta sasa dharau, wakabebwa nakuhamishwa jela ya segerea yeye na kina Hussein pamba kali,maana walileta dharau,,

Nasikia alivyofika segerea akachimbisha kisima na kuweka tenki, sasaivi jela ya segerea hamna tena taabu ya maji km zamani
hizi habari umezijulia wapi we dada,au unauza nini na wewe?
 
HPK anakabikiwa na kesi ya kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu. Alikopa kimagumashi akabonyea na hela za watu kulipa akawa analeta utoto wa mjini. Mdai akamfix mahakamani
acha uongo, ana kesi ya madawa ya kulevya,, nahis na ww mshirika wake
 
Kuna kijana anaitwa Mfungeni Aziz alikamatwaga mwaka Jana na madawa ya kulevya yupo segerea,
Juzi tena amekamatwa kaka Yake anaitwa Hassan Aziz, amekamatwa na unga kg 1, wote wakazi wa ununio,

MAKONDA ana mabaya Yake ila yeye ndo muanzilishi wa hii oparesheni inayoendelea ya madawa ya kulevya, miaka mitatu ijayo unga utaisha kabisa Tanzania, ukitaka kujua unga haufai uwe na nduguyo anatumia unga, ni hatari
kwisha unga labda Colombia uko uache kuzalishwa
 
acha uongo, ana kesi ya madawa ya kulevya,, nahis na ww mshirika wake
mi najua ile ya kutapeli milion 75 za yule demu mlokole wa sinza (inasemekana eti naye anapiga deal haramu ingawa anajifanyaga anatoa nguo uturuki na kuuza na inasemekana alikuwa demu wake)
 
saizi unga umekua mwingi mtaani hadi umeshuka bei nusu ya kipindi cha magu
 
Back
Top Bottom