Kila mwenye akili timamu analifahamu vema hilo, matokeo yake wakabaki na watuhumiwa ambao hata ushahidi hawakuwa nao!!! Na hawakuwa nao si kwa sababu hawafanyi hii biashara bali ni kwa sababu Makonda aliwapa mwanya ya ku-keep their profile low!Ni kama alikuwa ana wa tengenezea njia wakuu wakafiche mizigo yao mapema.
Operation aliifanya kisiasa sana.