The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,212
- 103,112
Basi punguza ujuaji,ujuaji na kutaka kushindana kwenye kila jambo na Mwanaume wako vinakucost,KFC?? Hapana
Hakika.Hakuna shida, umenifanya nijione siko peke tunaohitaj kupona
Hongera yaan nakuonea rahaHakika.
Hasira ni jambo moja, ila kufuata hasira inavokutuma ni jambo jingine.
Ni sawa na mtu mlevi anayeamini kuwa kuna baadhi ya matendo anayoyafanya yanapelekewa na pombe anazotumia. Ila mimi nimejenga imani tofauti.
Ukija kujichunguza utagundua kuwa pamoja na hasira zako lakini wewe ni mtu unayejali sana. (Concern, compassion) Ila kauli unazozitoa ukikasirika hupunguza kujiamini kwako na pia huondoa nafasi yako na uaminifu wako na huvunja malengo yako ghafla. Kumbe tatizo sio hasira. Tatizo lako ni kauli. Unaweza kukasirika na ukazichunguza kauli zako.
Mie mwanzoni nilikuwa najizuia kuongea nikikasirika, ilikuwa inasaidia ila mwanzo nilikuwa naharibu nilicholishika au najiumiza mikono kwa kupiga ukuta. Ilifika wakati nikaweza kumudu hasira ndani kwa ndani bila mabadiliko usoni wala bila viashiria vya kauli za maudhi.
Inawezekana
29Una umri gani binti mrembo? kama hutojali sema tu teens, twenties or thirties etc... usitaje umri kamili kwa sababu za kiuchumi. 😉
Inawezekana kuzimudu kauli, hasira ni asili, utakasirika ndio, ila jifunze tu kujizuia kutoa kauli ukikasirikaHongera yaan nakuonea raha
Ni mkubwa sasa, na muda huo ndio wa kupata wenza. Basi jitahidi fuata ushauri wa kaka na dada zako humu ndani.
Una tutabia twa kitoto.Badilika.Na hauwezi kuamka tu na kujikuta umebadilika.Anza Sasa kuacha tabia za kipuuzi.Uko vema lakini jitambue.Huwa napenda aman nikiona hatuko vizur huwa nahis nimechokwa zen najikuta nimesema ivi
AsanteUna tutabia twa kitoto.Badilika.Na hauwezi kuamka tu na kujikuta umebadilika.Anza Sasa kuacha tabia za kipuuzi.Uko vema lakini jitambue.
We mtoto utakuwa mtamuu...Kila nikisoma
ID yako lile goma la Amenooo lina click
Kwahio una macho mazuri sana bila shaka😅 maana nime google imenletea picha za Pathogens😅ila mi ni amehlo maana ake macho
Wote unaowakasirikia hawajakukaza vizuri ndio chanzo cha hasira zako
Muombe Mungu akuepushe na hiyo roho,inaweza kukutesa maisha yako yote...Hello,
Nafahamu kwenye wengi kuna mengi, tuachane na huu msemo. Naomba mnisaidie jinsi ya kukabiliana na hasira.
I broke up with 2 people kwasababu ya hasira, tena hasira zangu huwa ziko complex. Mfano sioni shida kumwambia mtu tuachane kisha naanza kuumia mwenyewe. Nikijaribu kurudi nakuta block kubwa yaani kufuli kubwa sana.
Nataman kuwa na mahusiano but hayadumu kwasababu ya hasira. Nisaidieni nipone.
AsanteMuombe Mungu akuepushe na hiyo roho,inaweza kukutesa maisha yako yote...
Kwahio una macho mazuri sana bila shakamaana nime google imenletea picha za Pathogens
Ahahahahahah haiwez kuwa kweli 😅amna nna macho kama mjusi kabanwa na mlango whylakini
Ahahahahahah haiwez kuwa kweli