Hasira za wanawake mbaya sana

Hasira za wanawake mbaya sana

Nikiwaga na stres za mapenzi ata nyege zinakosaga kbisaaaa naweza kaa 6 morth na ata mshipa usinitikisike kbsaa, na nikipona huwa sirudii matapishi . ......

nimeumbwa hvyo...mara nyingi utokea hyo hali pale napo ona nasalitiwa na nisibitishe kwa macho pengin mmmh uwa nikama nakatwa kale kadude aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh dea.
 
Nikiwaga na stres za mapenzi ata nyege zinakosaga kbisaaaa naweza kaa 6 morth na ata mshipa usinitikisike kbsaa, na nikipona huwa sirudii matapishi . ......

nimeumbwa hvyo...mara nyingi utokea hyo hali pale napo ona nasalitiwa na nisibitishe kwa macho pengin mmmh uwa nikama nakatwa kale kadude aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Kweli apo hasira unakuwa umeziweza. Wanzako kwenye hiyo situation wangewaza ni nani akamtunuku papuchi ili kulipa kisasi na kupunguza hasira.
 
Dah me hamu hamu yote upotea, Ata atakaye kuja kazi anakuwa nayo kunijenga kisaiklojia....kama atakuwa ni mtu na hamu zake anaweza ambulia patupu na akwende na hamu zake

Kikawaida kwa mtu nae mpenda sana uwa siwezi kumkasirikia wala kumsusia, nimekuwa nikisamehe na maisha yanaenda

Kwa maana nikikasirika mimi basi jua ata kumuona hyo mtu nakuwa staki ndo maan uwa sipendi kufatilia fatilia mwanaume kama nampenda, nampa tu uhuru wake

kwa sababu sipendi na ninajijua mimi nikisha jua tu nasalitiwa uwa siwezi kumvumilia mtu

Ndo maan sipendagi sana kumchunguza maan najua nitaumia sana tu na mwsho nitashindwa kuendelea nae

Madame anajua me ni nan yake anajali na kusamin muda wake naupata bila shida hyo inatosha

Na ikitokea mpka nimejua basi hyo mwanaume atakuwa ananidharau mpk kunioneshea nikajua..hvo uwa sifikilii kingine zaidi ya kuzalaulika hvo najikutaga na move on na uwa sirudi nyuma ..

Na nikisha moveon inanichukua muda sana kuingia kwa mahusiano mengine, maan ata hsia nakuwa sina kbsaa so akijitokeza mwanaume ambaye hajielewi atakuta me ndo sieleweki kbsaaaa

Mara nying ikitokea hvo japo sio lahisi kutoa...basi mtu anaye kuja uwa natamani anifanye kuwa rafiki kwanza ili aniweke sawa kisaikologia kbla ya kuingia kwa mapenzi
 
duuu sasa kama ulimpenda humkumbukagi?
 
Yani akigombana na mume wake au mpenzi wake anaona nyia ya kumaliza hasira ni kutembea na mwanaume mwingine, yani usipikua na huruma unaweza pata lawama, imagine mtu anakwambia anakuja kukusalimia geto analeta swaga za mapenzi, then baadae ndo unakuja kujua kumbe aligombana na mtu wake au mume wake kabisa.

Pole sana kwa yaliyokukuta mkuu!ni majaribu tu vumilia utavuka salama
 
duuu sasa kama ulimpenda humkumbukagi?
Namkumbuka pale nakuwa bado sijaingia kwa mahusiano mapya ila nikisha pata mtu tu siwezi tena mkumbuka

Na siku zote mwanamke umkumbuka mpenzi wake wa zamani ni baada ya kuona aliye nae hayuko caring kama aliye kuwa nae ndo ujikuta tu anasema bora flan

Mwisho wa siku akipata nafas ya kuwasiliana ujikuta wanarudiana hyo ni kwa sababu aliyw nae sio special, ila akipata mtu aliye sipecial anaye jua nini maan ya mahusiano na anamjali na kumcare ipasavyo ata week aimalizi kasha sahau kama aliumizwa

iko hvo , namshukuru mungu hakuna mahusiano nilisha wai kuyajutia anayw ingia nakuwa bora kuliko analiye ingia hyo nikwasababu nachukua muda sana kuchagu yupi sahihi anaye nifaaa

Namuomba na mungu pia ata mume wangu aje kuwa bofa zaidi ya walio toka wate[emoji120]
 
Pepo akishawatoka hamjihisi ni mafala au mabwege?
Kila binadamu ana hisia zake. Siwezi kuwajibia wote.
Regret or no regret ina apply kwa jinsia zote, pia inategemea na situation ya kosa lenyewe.
Kuna ambayo hauregret kabisa
 
We umeletewa chakula Kama unanjaa kula, huna njaa waachie wenzio😂😂😂
 
Back
Top Bottom