Hasira za wanawake mbaya sana

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,432
5,081
Yani akigombana na mume wake au mpenzi wake anaona nyia ya kumaliza hasira ni kutembea na mwanaume mwingine, yani usipikua na huruma unaweza pata lawama, imagine mtu anakwambia anakuja kukusalimia geto analeta swaga za mapenzi, then baadae ndo unakuja kujua kumbe aligombana na mtu wake au mume wake kabisa.
 
Yani akigombana na mume wake au mpenzi wake anaona nyia ya kumaliza hasira ni kutembea na mwanaume mwingine, yani usipikua na huruma unaweza pata lawama, imagine mtu anakwambia anakuja kukusalimia geto analeta swaga za mapenzi, then baadae ndo unakuja kujua kumbe aligombana na mtu wake au mume wake kabisa
Acheni uzinzi.
 
Nishapiga sana kwa style hii
 
Mambo ya 50/50

Nakuona Demi unasema kwani nyie mnajutaga.

Tofauti Kati ya kuchakata na kuchakatwa
 
Yani akigombana na mume wake au mpenzi wake anaona nyia ya kumaliza hasira ni kutembea na mwanaume mwingine, yani usipikua na huruma unaweza pata lawama, imagine mtu anakwambia anakuja kukusalimia geto analeta swaga za mapenzi, then baadae ndo unakuja kujua kumbe aligombana na mtu wake au mume wake kabisa.
Nikija gundua ata pelekwa kwa mparange Kama wiki hivi then anakula taraka tatu af aende kwa mamake huko wakafundane upya
 
Back
Top Bottom