Hasira za wanawake mbaya sana

Hasira za wanawake mbaya sana

Demi unavyokoment duuuh

It's clear bwana wako siku akijichanganya analo...mhhh,Yani unatia hasira kinyama

Mnatuogopesha sisi tunaotaka kuoa,nasijui tutaoa lini duuuuh.....Dunia hii,MUNGU tusaidie
[emoji3][emoji3] oa tu bwana, maisha hayafanani. Ukizingatia mastory ya watu humu jf kuhusu ndoa utaharibikiwa. Oa tu mdogo wangu..and am sure hutapata mwanamke pasua kichwa kama mimi.
 
Namkumbuka pale nakuwa bado sijaingia kwa mahusiano mapya ila nikisha pata mtu tu siwezi tena mkumbuka

Na siku zote mwanamke umkumbuka mpenzi wake wa zamani ni baada ya kuona aliye nae hayuko caring kama aliye kuwa nae ndo ujikuta tu anasema bora flan

Mwisho wa siku akipata nafas ya kuwasiliana ujikuta wanarudiana hyo ni kwa sababu aliyw nae sio special, ila akipata mtu aliye sipecial anaye jua nini maan ya mahusiano na anamjali na kumcare ipasavyo ata week aimalizi kasha sahau kama aliumizwa

iko hvo , namshukuru mungu hakuna mahusiano nilisha wai kuyajutia anayw ingia nakuwa bora kuliko analiye ingia hyo nikwasababu nachukua muda sana kuchagu yupi sahihi anaye nifaaa

Namuomba na mungu pia ata mume wangu aje kuwa bofa zaidi ya walio toka wate[emoji120]
Nimepigia mstari hili neno

"Waliotoka wote"
JamiiForums1790095180.jpg
 
Back
Top Bottom