Hasira za mtoto

Hasira za mtoto

Bado mdogo mtoto jaman huyo anaonekana hataki shida na inaelekea kafuata tabia ya mama kama sio ya baba
hvyo msimuudhi mtoto jaman mwaacheni acheze na afanye atakavyo coz kwa umri alionao ni vigumu kucontrl hasira zake

Manka najaribu kutafuta namna ili kama ni tatizo, nilitatue mapema, kabla hajaenda shule na kuanza kuwaparua walimu (walimu wenyewe ndio hawa wa Murugo) ikaja kuwa balaaa zaidi!
 
Watoto wako tofauti hapo hajafika kwenye terrible two ndo utakiona maana wanakuaga ka wametiwa pilipili.wao ni do as i say and everything is mine.kama hujui tabia za watoto utapatashida unaweza kumpiga bila sababu.

Wangu alikuwa na hasira yaani ukimgombeza analia huku akigonga kichwa chini sakafuni hadi unamuonea huruma bt saiv ni mpole ajabu.


Muonyeshe upendo tu na mpe nafasi ya yy kuinjoy utoto wake yanaishaga hayo.

Shansarie nashukuru, umentoa wasi wasi, have a good day!
 
Siku hizi bana kitu kidogo eti saikoloj lol tushakua wa kimjin zaidi,
 
unaogopa anaweza kukupa mangumi akikasirika? onana na wataalamu watakusaidia
 
Afadhali maana ninaye wa miezi minne tu ila hiyo hasira mpaka was worried kwa kweli maana anaweza kulia kilio cha hasira mpaka kwikwi!!!!!!!!

Akilala anaendelea kushusha pumzi na "sobbing" juu, sasa utaacha kushtuka hapo halafu wa kike sasa!!!!!!

Asanteni kwa ushauri!!!!!!!
 
wewe jaman mbona mtoto bado mchanga kabisa mweee afu mbona ulimpga sana? jaman wew ckuachii mtoto hata bure

kumbebeleza mtoto mdogo ni kazi kubwa tena ukikutana na mwenye hasira cjui za bibi yake au mjomba ni tatizo
Mhhhh mie nikiona mtu anapiga mtoto mdogo huwa naumia sana kama wa kwangu vile

wamama wengine watasema hasikii huyu dawa yake ni hii hii..ila sidhani ka ni njia bora ya malezi
Unatakiwa ufungwe unapiga mtoto wa miezi mitano dah ungekuwa marekani wewe na mtoto ungenyang'anywa
(aaah jamani ulikaonea kamalaika ka watu,unajua lugha za watoto wa umri huo ni kulia ulipaswa kuendelea kumbembeleza tu loh! Btw-nyie wanaume wengi wenu hamjui kubembeleza watoto tena wengne utaskia wee mama nanii njo uchukue mwanao utadhani yeye hausiki vile...ila kuna wachache hadi wanawaogesha ama kuwasafisha watoto zao wanapojichafua..next time usimpige mtoto.
Ni sehemu ya malezi ila kwakuwa yashatokea sitarudia tena huo upuuzi...!! Sorry for terrible msg!!
mxxxxxxyiuuuuu
????????????? u too!! mxxxxxxxxyiuuuuu
 
Siku hizi bana kitu kidogo eti saikoloj lol tushakua wa kimjin zaidi,

Siku hizi? una maana gani? Punguza ushamba, aliekwambia psychology ni mambo ya mjini nani? Hili ni somo kama masomo mengine, wenzio wana mpaka Phd za psychology! Pole kama ulikuwa hujui kuwa kila kitu ni Psychology! Punguza ulimbukeni hapa chini:

  1. Clinical psychology
  2. Community psychology
  3. Counseling psychology
  4. Developmental psychology
  5. Environmental psychology
  6. Experimental psychology
  7. Family psychology
  8. Organizational psychology
  9. Physiological psychology
  10. School psychology
  11. Social psychology
  12. Sport psychologists
  13. Child psychology
 
Siku hizi bana kitu kidogo eti saikoloj lol tushakua wa kimjin zaidi,

Punguza ulimbukeni! na umri wako huo unathubutu kusema Psychology ni mambo ya mjini! Kama hujui inahusu nini basi angalau, nenda kajifunze inavyoandikwa japo kwa Kiswahili afu njoo tujadili!Hata ulipoleta uzi wako wa kulalamika "eti unatongozwa sana kupitia pm" lile lilikuwa tatizo lako la Kisaikolojia, ila kwa kuwa Unawaza kwa kutumia Ma------ ndio maana Unadhihirisha U.P.U.M.B.U..... wako hapa! Kuna watu wana certificate, diploma, degree, Masters degree na Phd za Psychology, angalia hizi hapa nimekuwekea ukamsimulie na mumeo!
  1. Clinical psychology
  2. Community psychology
  3. Counseling psychology
  4. Developmental psychology
  5. Environmental psychology
  6. Experimental psychology
  7. Family psychology
  8. Organizational psychology
  9. Physiological psychology
  10. School psychology
  11. Social psychology
  12. Sport psychologists
  13. Child psychology
 
Msome pole pole huku wampa space coz thts foolisha age but they usually think their bright and knws everthing than anybody... msome na kuna mahali ana weakness ambazo zitakufanua upate mwanya wa kuingia kwa akili yake umrudishe into her normal akili...
 
Punguza ulimbukeni! na umri wako huo unathubutu kusema Psychology ni mambo ya mjini! Kama hujui inahusu nini basi angalau, nenda kajifunze inavyoandikwa japo kwa Kiswahili afu njoo tujadili!Hata ulipoleta uzi wako wa kulalamika "eti unatongozwa sana kupitia pm" lile lilikuwa tatizo lako la Kisaikolojia, ila kwa kuwa Unawaza kwa kutumia Ma------ ndio maana Unadhihirisha U.P.U.M.B.U..... wako hapa! Kuna watu wana certificate, diploma, degree, Masters degree na Phd za Psychology, angalia hizi hapa nimekuwekea ukamsimulie na mumeo!
  1. Clinical psychology
  2. Community psychology
  3. Counseling psychology
  4. Developmental psychology
  5. Environmental psychology
  6. Experimental psychology
  7. Family psychology
  8. Organizational psychology
  9. Physiological psychology
  10. School psychology
  11. Social psychology
  12. Sport psychologists
  13. Child psychology
Angalia inawezekana hata wewe una tatizo la kisaikolojia!!!
 
akiwa na hasira anaweza akajitupa chini bila kujali amekaa wapi! anatupa ama kubamiza chochote ambacho ameshika ama kipo karibu na yeye, kulia kwa sauti kali (na amebarikiwa sauti kali), kumfinya aliyembeba, kutapa tapa kama amebebwa na wakati mwingine inabidi uliembeba uwe na nguvu ya ziada coz ana weight ya kutosha! kwa upande wa sababu ni za kawaida tu mf. unamtoa karibu na tv na yeye hataki ama unamnyang'nya kitu hatarishi!

duh! Mkuu hizo hasira zake kweli zinaleta mashaka.
 
Angalia inawezekana hata wewe una tatizo la kisaikolojia!!!

Nitakosaje wakati watu wenyewe wanao comment ndio hawa wanaosema Psychology ni mambo ya mjini, Psychology ni mambo ya siku hizi!
 
Back
Top Bottom