Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
tumtafute wa kwetu mapemaaaaaaa
hahaha! Utanipitia twende kariakoo kumtafuta wallah!
tumtafute wa kwetu mapemaaaaaaa
Utakuwa unapenda watoto..
hahaha! Utanipitia twende kariakoo kumtafuta wallah!
Kuna mtu aweza kuja kukuambia "Inabidi Uombewe"...Ni sredi ambazo zinaleta hamu ya kusoma what people say it. Zipo so relaxed na hazina stress kabsa hizi sredi.
mtoto wa kwanza ana raha maana anakaguliwa kila kitu,

hebu toa mifano mkuu, anaonesha vitendo gani akiwa amekasirika na vitu gani vinampandisha hiyo hasira
Kama majuzi aisee nimeconfess kwa dogo...alikuwa analia sasa nikam-beba wakati mama ake anaoga, alivyorudi bafuni mi nikamlaza kitandani still akilia...basi mi nikaingia na hasira nikambebea tena akazidi kulia...aisee nikaanza kumpiga vibao mashavuni!! We alilia mlio ambao sikuwahi kuusikia!! Kama ana kwikwi hivi na pumzi zinamusiha!! Nikampiga tena vibao vya shavuni(Just mtoto wa miezi mi5 tu) basi alilia huyooooooo!! Nikambebea kumtoa nje...huko nako nikampa vibao vingiine..ikawa imetosha huku analia.year true true! Mana wadau wanaleta experiece za watoto zao unaburudika na kujifunza pia!
Kama majuzi aisee nimeconfess kwa dogo...alikuwa analia sasa nikam-beba wakati mama ake anaoga, alivyorudi bafuni mi nikamlaza kitandani still akilia...basi mi nikaingia na hasira nikambebea tena akazidi kulia...aisee nikaanza kumpiga vibao mashavuni!! We alilia mlio ambao sikuwahi kuusikia!! Kama ana kwikwi hivi na pumzi zinamusiha!! Nikampiga tena vibao vya shavuni(Just mtoto wa miezi mi5 tu) basi alilia huyooooooo!! Nikambebea kumtoa nje...huko nako nikampa vibao vingiine..ikawa imetosha huku analia.
Basi huyu mtoto usiku nzima alilala huku anastuka stuka kila baada ya dk 2 yaani iliniuma sana...nilijuta kumpiga huyu mtoto!! Ingawa mama ake alinipa moyo kwamba ni kawaida tu kwa watoto ingawa watoto wa miezi hiyo hawajui chochote so hawastahili kupigwa, ukiwa na hasira we mwache nenda zako!! Mtoto usiku nzima hajalala vizuri kila mara anastuka tu. Nimejuta!!
Heaven on Earth, huyu ni wa pili, sio wa kwanza!

Kama majuzi aisee nimeconfess kwa dogo...alikuwa analia sasa nikam-beba wakati mama ake anaoga, alivyorudi bafuni mi nikamlaza kitandani still akilia...basi mi nikaingia na hasira nikambebea tena akazidi kulia...aisee nikaanza kumpiga vibao mashavuni!! We alilia mlio ambao sikuwahi kuusikia!! Kama ana kwikwi hivi na pumzi zinamusiha!! Nikampiga tena vibao vya shavuni(Just mtoto wa miezi mi5 tu) basi alilia huyooooooo!! Nikambebea kumtoa nje...huko nako nikampa vibao vingiine.......(aaah jamani ulikaonea kamalaika ka watu,unajua lugha za watoto wa umri huo ni kulia ulipaswa kuendelea kumbembeleza tu loh! Btw-nyie wanaume wengi wenu hamjui kubembeleza watoto tena wengne utaskia wee mama nanii njo uchukue mwanao utadhani yeye hausiki vile...ila kuna wachache hadi wanawaogesha ama kuwasafisha watoto zao wanapojichafua..next time usimpige mtoto.