AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Mange ni nani?Mange atakujibu
mange ni nani?
Atoke zake huko,wapemba watu wazuri sana katika biashara hapa mjini then bwana mkubwa anataka kutuharibia uhusiano wetu bwana.Hashim Lundenga hatimaye Ameomba radhi kwa watanzania woote....kuhusu kufanya miss tanzania siku ya majonzi!
Lungenga ni Mtanzania kweli?
Hashim Lundenga hatimaye Ameomba radhi kwa watanzania woote....kuhusu kufanya miss tanzania siku ya majonzi!
Lundenga ni Mtanzania kweli?
<br />Yes, si unajua baadhi ya watu wanaojifanya na kujiita maarufu na baadhi ya wanasiasa wanafikiri kwa kutumia MAKALIO badala ya vichwa!!