Hashiki mimba maskini!, kumbe kazaa na jini!

Hashiki mimba maskini!, kumbe kazaa na jini!

yn namshangaa asiye amini uwepo wa majini duniani Mungu anasema ameumba viumbe ambavyo vingine hatuvioni
 
wew kama uamni majini yapo, basi fanya mchakato wa kuwatafuta uwaone, utaki tulia kama maji ya mtungi

the loudness one in the room is the weak one in the room
 
Wasomi wa sasa huku kwetu (baadhi), hawaamini mambo haya, yaani wanaona kama ni mambo ya kutungwa tu. Ila namna Mungu, alivyo mwema, huwa anajidhihirisha kwao kupitia kuyaruhusu hayo madude yawatese, ndipo hukiri wenyewe baadae, tena kwa machozi haswa. 1Wakorintho 5:1-5

1Timotheo 18-20

Hayo yanatokea sana, tena sana tu, hutaki kuamini sawa, ila yapo na yanaendelea kuwatesa wengi.

Pole kwa huyo dada rafikiyo, ila kwa kuwa chanzo cha tatizo kishajulikana, anaweza kabisa kupata watoto, kwa kuanza kwanza kuyakana na kuyaangamiza yote hayo, pamoja na hao watoto, na itabaki kuwa historia tu.

Kutokuzaa ama kutokushika mimba, ama kutokuolewa, ama nuksi, kuna wakati ni Mungu, mwenyewe anazuia ili utukufu wake udhihirike, na utakapodhihirika atapata mtoto ama watoto.

Tobiti 6:14-18, 7:15-16

Kuna wakati mwanadamu mwenzio anaamua tu akufunge, hasa kwa kutumia nguvu za giza, yakiwemo hayo majini, ila akifunguliwa atapata tu watoto.

Mungu, ni mwema, anasamehe anajali, anahurumia, na haijalishi ni yapi uliyafanya huko nyuma kabla, ila ukirudi kwake Mungu, kikamilifu na kiuaminifu, atakujalia yote hayo.

Ahsante!
Asante

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo yapo!
Hiyo ni sipiritual husband!

Ss mumewe asimwelewe kvipi, si anaombewa linaondolewa basi maisha yanaendelea na anazaa na mumewe watt km kawaida!

Na kwanza km mumewe haamini haya mambo ya kiroho haina haja ya kumwelezea yote hayo ya nn!

Yy ataona mabadiriko tu!
Asante
 
Hao waliomuombea nao bado hawajielewi!
Hakuna kitu cha ajabu hapo!

Mwambie anichek,atafunguliwa na atazaa na mumewe na mumewe ataelekezwa ataelewa!
Usilete utani mm nahangaika mwaka wa 5 nimeamua kua mpole na story hiz zinafanana utafikiri anae elezea ni mke wangu
 
Rafiki yangu kipenzi,aliolewaga,ana miaka minne kwenye ndoa,hashiki mimba,pima vipimo vyote shida hainekani.japo kidogo huwa analalamika tumbo.
Ndoa yake haijachangamka.
Akasema aende kuombewa,ndio akawa anasema huyo jini kuwa amemuoa huyo dada,na tayari wana watoto!
Ni ngumu kuamini lakini ndio ivo!
Sijui ndoa yake itakuaje? Mumewe atampenda tena?
Atakuwa anajisikiaje?
Nilikua siamini mambo haya,ila nimeamini.
Mungu atulinde tusipatwe na mashetani na majini!

Nakosa cha kuongea...
Mwenye ushauri aweza share sababu nashindwa nielezeeje nieleweke!
Hilo neno mini lilinifanya niwahi kufungua huu uzi. Nlijua vimini vinazuia mimba. Haaaaahhhhhaaaaa.
 
Hakuna jini, shetani, malaika wala mungu.

Ni hadithi zisizo uthibitisho wala mantiki.

wewe Kiranga wewe hivi unaelewa unachokiongea au nawe umekurupuka tu,Mungu akurehemu kwa kweli
 
Usilete utani mm nahangaika mwaka wa 5 nimeamua kua mpole na story hiz zinafanana utafikiri anae elezea ni mke wangu

Utani kivipi mkuu!
Niko serious, nipo church na nayaona haya mambo kila siku!

Basi mkeo hajafunguliwa ,akishapata derivarance basi kila kitu kinakaa sawa!
 
Wew ni kiongozi wa dini ? Unaonekana unafahamu vema kuhusu mambo ya rohoni

Mi ni mtumishi pia nimepata neema ya kujua kiasi haya coz tupo field tunayaona haya kila siku na watu wanafunguliwa wanaendelea na maisha yao
 
Rafiki yangu kipenzi,aliolewaga,ana miaka minne kwenye ndoa, hashiki mimba, pima vipimo vyote shida hainekani japo kidogo huwa analalamika tumbo.

Ndoa yake haijachangamka.

Akasema aende kuombewa,ndio akawa anasema huyo jini kuwa amemuoa huyo dada,na tayari wana watoto!

Ni ngumu kuamini lakini ndio ivo!

Sijui ndoa yake itakuaje? Mumewe atampenda tena?
Atakuwa anajisikiaje?

Nilikua siamini mambo haya,ila nimeamini.

Mungu atulinde tusipatwe na mashetani na majini!

Nakosa cha kuongea...

Mwenye ushauri aweza share sababu nashindwa nielezeeje nieleweke!

evolution2.jpg
 
Wasomi wa sasa huku kwetu (baadhi), hawaamini mambo haya, yaani wanaona kama ni mambo ya kutungwa tu. Ila namna Mungu, alivyo mwema, huwa anajidhihirisha kwao kupitia kuyaruhusu hayo madude yawatese, ndipo hukiri wenyewe baadae, tena kwa machozi haswa. 1Wakorintho 5:1-5

1Timotheo 18-20

Hayo yanatokea sana, tena sana tu, hutaki kuamini sawa, ila yapo na yanaendelea kuwatesa wengi.

Pole kwa huyo dada rafikiyo, ila kwa kuwa chanzo cha tatizo kishajulikana, anaweza kabisa kupata watoto, kwa kuanza kwanza kuyakana na kuyaangamiza yote hayo, pamoja na hao watoto, na itabaki kuwa historia tu.

Kutokuzaa ama kutokushika mimba, ama kutokuolewa, ama nuksi, kuna wakati ni Mungu, mwenyewe anazuia ili utukufu wake udhihirike, na utakapodhihirika atapata mtoto ama watoto.

Tobiti 6:14-18, 7:15-16

Kuna wakati mwanadamu mwenzio anaamua tu akufunge, hasa kwa kutumia nguvu za giza, yakiwemo hayo majini, ila akifunguliwa atapata tu watoto.

Mungu, ni mwema, anasamehe anajali, anahurumia, na haijalishi ni yapi uliyafanya huko nyuma kabla, ila ukirudi kwake Mungu, kikamilifu na kiuaminifu, atakujalia yote hayo.

Ahsante!
Nimefatilia mistari ya biblia uliyonukuu naona kama haihusian na mada hii, labda mimi sielewi, hasa ile Thimotheo!
 
Back
Top Bottom