Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,011
- 142,702
Hata Mimi nilikua siamini kama wewe,ila acha nirudi kwa Mungu mbiombio,kuna mengi hatuyaoni ila yapo aisee.
Anasema alikua anaota tu ndoto anafanya mapenzi,ooh mara ana watoto.lakini yeye alichukulia ni ndodo za kawaida!
Mungu na hayo maruhani ni pande mbili za sarafu ileile tu.