Hasheem Thabeet VS Jeremy Lin

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372
Date of birth
February 16, 1987 (1987-02-16) (age 25)
Place of birth
Dar es Salaam, Tanzania
Nationality
Tanzanian
Listed height
7 ft 3 in (2.21 m)

Date of birth
August 23, 1988 (1988-08-23) (age 23)
Place of birth
Los Angeles, California
Nationality
American
High school
Palo Alto HS (Palo Alto, California)
Listed height
6 ft 3 in (1.91 m)
200 lb (91 kg)

<tbody>
</tbody>
263 lb (119 kg

Jeremy Lin

<tbody>
</tbody>

Jamani tuangalie data za hawa vijana wawili halafu tuelimishane ni wapi kijana wetu (Thabeet) alipokwamia. Pia tusisahau ile methali ya kiswahili isemayo: Ng'ombe wa maskini huwa hazai, na akizaa huzaa ndama dume.

Last edited by a moderator:
tatizo wakishafika huko hujisahahu8 na kuwaza bata tu muda wote kuja bongo kuuza sura.

sio mbaaya hata hvo umetutambulishaq watz.
 
kumetokea nini tuwalinganishe kuhusu nini? kifedha, kiuchezaji tufafanulie please be complete
 
tatizo wakishafika huko hujisahahu8 na kuwaza bata tu muda wote kuja bongo kuuza sura.

sio mbaaya hata hvo umetutambulishaq watz.

Mkuu ni kweli kabisa kuwa kwa kiasi fulani huyu jamaa kachangia kuitambulisha Tz kwenye ulimwengu wa michezo & nampa big up kwa hilo, lkn mimi nilishituka pale niliposikia kwenye vyombo vya habari jamaa akisema kuwa yeye kufika hapo alipo ni matokeo ya juhudi zake binafsi na hakuna mtu aliyemsaidia ktk hilo! Oooops!
 
Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50
wewe nawe una matatizo ya ufikiri.....
 
Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50

Yaani utafute hela uendelee kujitesa? Hata wewe kama una SanLg (pkipki) kuna watu watasema kwa nini usingenunua baiskeli ambayo hutatumia mafuta.
 
Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50
Sasa yeye akifanya hivyo na sie wabangaizaji tufanye nini?yule ni tajiri tayari hayo kwake ni mambo ya kawaida,ni sawa na kumshauri Mengi ajenge maduka pale sinza apangishe wakati yeye anafanya investiments kubwa..
 
Sioni ulinganisho hapa maana kila mtu hutoka kinyake vyake na kila mtu ana bahati yake maana tunawajua kina Dikembe Mutombo pia walitoka Afrika na kufanya vizuri tu.
 
Fikra mgando za wabongo....wabongo sisi tunalaana yaani siku zote tunapenda kuombeana njaa tu ,yaani kuzaliwa mtanzania ni kama kurithi dhambi ya asili ya adam na eva .....sasa kununua vogue na nyumba kwa ajili ya mama yake tatizo wapi? Tuombeane mema jamani sio kila siku kusubiliana chini .embu tutumie ule msemo wa aliye juu mfate huko huko.omba mafanikio sio shida ...............
 
hivi kuna chema kitokacho nazareth?it's a failed nation and her people until the curse is lifted...
 
ana haki na uhuru wa kutapanya pesa yake yake as he wish, besides kila mtu ana priorities zake...
 
Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50

Thabeet anayo haki ya kuendesha Vogue na Kumnunulia mama yake nyumba Masaki nilidhani angeweza hata kuongeza na ka boti kadogo cha kula bata hapo maeneo ya Yatch Club, unadhani hizo nyumba na vogue wamewekewa mafisadi tu. Tatizo lake huyo dogo ni kupigania kiwango chake , nina maana mazoezi ya kutosha ya kufanya awe kwenye kiwango kinachokubalika NBA, ili aweze kuuza sura zaidi ya hivyo anavyouza sasa, au hujui kuuza sura kwake kunaweza kumuongezea hela zaidi ya hizo alizo nazo kutoka kwenye mkataba wa kikapu, kumbuka kuna hollywood pia anaweza kutumika katika movie za kutisha, mambo mengi huyo jamaa anayo, lakini muhimu zaidi ni kuhakikisha anabaki kwenye kiwango bora cha NBA. Acha hizo wewe!!
 
Thabeet kikapu kajulia ukubwani mimi nlikua nacheza kikapu pale jitegemee sec. Ye alikua anatembea na ndala mitaa ya sinza na alikua anakuja pale SPIDER( gymkhana groundz) na ndala akawa anafukuzwa kila siku amekuja kuelewa kidogo kikapu alipoenda makongo sec. Tena hapo yuko form 2! Ndo mana kikapu hakipo kwenye damu mana amejulia ukubwani wakati wenzie tokea wadogo wanacheza
 
Thabeet anayo haki ya kuendesha Vogue na Kumnunulia mama yake nyumba Masaki nilidhani angeweza hata kuongeza na ka boti kadogo cha kula bata hapo maeneo ya Yatch Club, unadhani hizo nyumba na vogue wamewekewa mafisadi tu. Tatizo lake huyo dogo ni kupigania kiwango chake , nina maana mazoezi ya kutosha ya kufanya awe kwenye kiwango kinachokubalika NBA, ili aweze kuuza sura zaidi ya hivyo anavyouza sasa, au hujui kuuza sura kwake kunaweza kumuongezea hela zaidi ya hizo alizo nazo kutoka kwenye mkataba wa kikapu, kumbuka kuna hollywood pia anaweza kutumika katika movie za kutisha, mambo mengi huyo jamaa anayo, lakini muhimu zaidi ni kuhakikisha anabaki kwenye kiwango bora cha NBA. Acha hizo wewe!!

:poa ni vema waafrika tubadilike, pale mtu anapofanya mazuri asifiwe, sio kila siku kunyosheana vidole tu
 
Back
Top Bottom