Hasheem Thabeet VS Jeremy Lin

Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50

Sasa watu wote wenye mkwanja kama wa Hasheem lazima wanunue eka mbili mbezi? binadamu hutofautiana bro..
 
Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50
Mkuu

Hashimu kumnunulia mama nyumba sio issue kwani anaingiza zaidi ya bilioni tisa kwa mwaka mzima na hawezi kula zote zikaisha, na kwa kununua nyumba ya mama ina maana basi hata matanuzi yanapungua

dogo ana shida ya exposure, bad company, confidence, IQ, jitihada binafsi na utoto.... anaweza endapo atapata mentor mwingine, walionao sasa hivi unaona hata picha anazopiga... they are not helpful, bado yuko kulekule kwetu kitaa

KAMA ANAWEZA ATUMIE JAPO 1m KUAJIRI SUPER TRAINER NA MENTOR KUMSAIDIA KWANI MKATABA HUU UKIISHA ITAKUA BALAA
 
  • Thanks
Reactions: JS
Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50

mKUU UNAUHAKIKA NA UNACHOKINENA?
  1. Mbezi hapo unaposema pamepimwa (kujenga sehemu ambayo haijapimwa ni kuharibu mazingira
  2. Je umeshafanya business analysis ukaona faida ya kujenga nyumba kwenye eka mbili zikalipa na ni kwa muda gani?
  3. vipi usimamizi na tunavyojijua?
  4. masaki inalipa kwa haraka kuliko mbezi depending on the nature ya investiment unayoweka
  5. si vibaya kufocus kwenye kipaji na ajira yake, tukaacha anvyotumia pesa yake kwa sasa
 
  • Thanks
Reactions: JS
Kwahiyo Rockets umemwona Hasheem tu mbona wapo bench warmers kibao? Na kwanini umringanishe na Lin wakati wana background tofauti!? Kifupi mpaka alipofika jamaa anahitaji pongezi maana kaanza kucheza ukubwani na bado anajitahidi kwasababu anapata vidakika vichache vya kucheza NBA.
 
Kila mtu na kiwango chake, alipofika Thabeet hajawahi kufika Mtanzania yeyote, kaweka rekodi, na mkwanja anaolipwa hakuna mtanzania yeyote kwenye michezo anakula kitita namna hicho hata yule aliyepigwa picha za uchi kule Play Boy, hampati mkwanja wa Thabeet.

Mwacheni, mlimfikisha nyinyi huko? au mnaijuwa Basket Ball zaidi yake? kuna watu wanaingia NBA mpaka wanaondoka kazi yao kukaa benchi tu. Si bora yeye anakipiga japo kwa muda mfupi kila mechi. Huyo ana kazi yake aliyopangiwa na anaifanya vyema, kama haifanyi usingemuona hapo, kuna watu wanapataka hapo kufa na kupona.
 
Kumlinganisha Thabeet na Lin....ni obvious unamuonea Thabeet!

Kwa vipi Thabit anaonewa? Wanashindana mwaka moja kwa akuzaliwa, lakini kimichezo kijana wetu alikuwa na chance kubwa kumpita Lin, kwani alikuwa no 3. kwenye NBA draft. Thabeet ni mrefu kumshinda Lin, sifa kubwa ndani NBA. Thabeet kapata support kubwa sana kupita kiasi kutoka NCAA, NBA na U.S Sports Media. Imekuwaje kashindwa kucheza Basketball?

d40265af64efd515f80f866aceff.jpg
 
Hasheem had his chance to shine but he didn't make better use of it...Now its Linsanity all over NBA.
 
Kwahiyo Rockets umemwona Hasheem tu mbona wapo bench warmers kibao? Na kwanini umringanishe na Lin wakati wana background tofauti!? Kifupi mpaka alipofika jamaa anahitaji pongezi maana kaanza kucheza ukubwani na bado anajitahidi kwasababu anapata vidakika vichache vya kucheza NBA.

Mpiga Nyoka hao wengine ndani Rockets hawanihusu na sina habari nao, lakini Thabeet ni Mtanzania mwnzetu ndio maana najaribu kutafuta majibu. Kumbuka kwamba, alikuwa kama muwakilishi wetu kwenye NBA, na ilikuwa FARAJA kubwa sana kwetu kumuona akicheza na kusikia Tanzania ikitajwa kila mara. Ni vibaya kama umeridhika na vidakika vichache anavyovipata, lakini sidhani kama hiyo inafafanua kwa nini kijana wa miaka 25, na mwenye urefu wa 7 foot 3 ( very rare height in NBA) anapata hivyo vidakika vichache? Na unamaanisha nini unaposema wana Bacground tofauti? Je unamaanisha kwamba sisi Watanzania hatuna uwezo wa kucheza kwenye ligi ya NBA?
 
Thabeet kikapu kajulia ukubwani mimi nlikua nacheza kikapu pale jitegemee sec. Ye alikua anatembea na ndala mitaa ya sinza na alikua anakuja pale SPIDER( gymkhana groundz) na ndala akawa anafukuzwa kila siku amekuja kuelewa kidogo kikapu alipoenda makongo sec. Tena hapo yuko form 2! Ndo mana kikapu hakipo kwenye damu mana amejulia ukubwani wakati wenzie tokea wadogo wanacheza
Dope B. nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani, kwani tafsiri yako inabase kwa ulivyokuwa unamjuwa pale JITEGEMEE, lakini walimu wake kule Connecticut (HUSKIES) wnamtazamo tofauti na wako. Hebu soma hii kauli ya bwana Jim Calhoun, kocha wake pale Connecticut,
("He would get a rebound in Houston, throw it and then watch nine guys run") and beams with pride when he says that "no player I've ever had at UConn has improved to the level that Hasheem has improved."

Read more: The odyssey of Hasheem Thabeet - Luke Winn - SI.com
 
Where do I begin?
The Grizzlies took Hasheem Thabeet with the second overall pick in the 2009 draft. Since being drafted, Thabeet has shown that there is still a lot of work to be done and who knows when he will actually make an impact.
Thabeet was a solid player while attending Connecticut and was known to be a top-five selection. The Grizzlies took him at No. 2, ahead of players such as Tyreke Evans, Stephen Curry and Brandon Jennings. Evans and Curry were highly decorated collegiate players, but no one knew that Jennings was going to be as good as he is. Knowing what we know now, the Grizzlies should not have taken Thabeet.
According to reports, GM Chris Wallace wanted to take Stephen Curry with the No. 2 overall pick, but owner Michael Heisley wanted to take Thabeet. Since Heisley is the owner of the Grizzlies, they were forced to go with Thabeet.
I'm guessing they're regretting that decision right about now.
Thabeet has been highly criticized since his arrival in Memphis. He was the highest draft pick ever to be sent down to the NBA Developmental League. He played six games in the NBDL and established dominance in the NBA's version of the minor leagues. Thabeet started four games for the Dakota Wizards and averaged 13.8 points, 11.2 rebounds and 3.2 blocks per game.
But, when he got his chance to return to the NBA, he just looked lost. He seemed to be too slow to keep up with the big boys and was a fouling machine.
In fact, the problem remains. The 2010-11 season is still very young, so it's hard to gauge Thabeet thus far. But, from what I've seen, he'll be a longtime work in progress and personally, I don't think that he'll ever be a quality starter that can go out there and average a double-double. He stands at 7'3" but height isn't everything.
There are more qualities a player needs to have instead of just being tall and Thabeet just doesn't have those abilities right now. I will give him one small excuse-he didn't start playing basketball until he was 15, so he is still learning how to play. But, with the experience he's received in college and in the NBA, he should have picked up on a few things by now.
In Thabeet's rookie campaign he played in 68 games (13 starts) and averaged 3.1 points, 3.6 rebounds and 1.3 blocks per game.
Not only did he have a shaky rookie season, Hasheem "The Dream" was also involved in an altercation with R&B singer T.I.D. According to reports, Thabeet punched the singer in the face, knocking him unconscious.
Apparently, when T.I.D woke up, his cell phone was missing and the singer went to the police station to file a case against Thabeet. Was this the beginning of a tumultuous stay in Memphis? Who knows?
Entering this season, Thabeet was immediately listed as the backup to Marc Gasol, the starting center for the young Grizzlies team.
I went to the Grizzlies opening game against the Atlanta Hawks where they lost, 119-104. From what I saw Thabeet had no idea what he was doing on the court. He made numerous mistakes, including a missed dunk right before halftime.
The Grizzlies fans weren't saddened when Thabeet would be taken out of the game. In fact, they were ecstatic. Every time he got taken out fans cheered and clapped as Thabeet, head down, walked towards the bench.

Coach Lionel Hollins also seemed to have a stern conversation with Thabeet as soon as he sat down on the bench. His stat line for their 15-point loss? 19 minutes, 0 points, three rebounds, two blocks and two turnovers. Not too good for a sophomore player in the NBA, even though he is still developing.
His stats through three games this season: 39 minutes, one point (0-5 FG, 1-2 FT), six rebounds, 0 assists, three blocks, three turnovers, six fouls.
But apparently the Grizzlies still have some confidence in the Tanzanian. The Grizzlies picked up the option on Thabeet on Oct. 28 and they are now required to pay Thabeet $5.1 million next season. Really? $5.1 million? He hasn't even showed that he could be worth $one million, much less $five million.
It may not be the right decision to give up on a No. 2 overall pick after two seasons, but the money they will have to pay him is downright ridiculous. For the Grizzlies, it would have been a good business decision to let Thabeet go, but I can see where they're coming from. There is still a glimmer of hope that Thabeet could be a possible starter, but that hope is dwindling fast.
If I was owner Michael Heisley, I would have given up on Thabeet a long time ago. Actually, I would have never taken him in the first place. There were so many other players on the board that have performed better than Thabeet thus far.
Stephen Curry is the leader of the Warriors. Tyreke Evans put up numbers that rival Michael Jordan, LeBron James and Oscar Robertson in his rookie campaign. Brandon Jennings averaged over 15 points per game and led the Bucks to the playoffs. There were also other players that played decent, such as Darren Collison, DeJuan Blair, Ty Lawson, Omri Casspi, Marcus Thornton, Terrence Williams, Jrue Holiday and Jonny Flynn.

Did I name enough? With the way some players performed last season, Thabeet may not have even been a first-round selection. But he was and now the Grizzlies have to deal with the consequences.
Thabeet will forever live in infamy as a tall player that was selected high in the draft and never live up to expectations (Shawn Bradley, anybody?) That's what Thabeet is right now-another Bradley. Not a good deal for the Grizzlies.

source Memphis Grizzly Hasheem Thabeet: Is It Already Too Late? | Bleacher Report
 
[h=1]Jeremy Lin merchandise booms[/h]
NEW YORK (CNNMoney) -- Lincredible! Linsanity! Divine Lintervention!
Whatever pun you choose to describe it, the Jeremy Lin phenomenon is shaping up to be a big win for many retailers.
Lin, an unheralded Asian-American player from Harvard, has turned in a string of sensational performances since coming off the bench in a game earlier this month, leading the New York Knickerbockers to a surprising winning streak.

"The demand has just been unlike anything we've seen," said Rich Lampmann, a spokesman for Modell's Sporting Goods, a chain based in New York City. Modell's has sold roughly 10,000 Lin jerseys and t-shirts in the past week, and has over 160,000 more hitting shelves within the next few days.

SOURCE: Jeremy Lin merchandise booms - Feb. 17, 2012
 
Kila mtu na kiwango chake, alipofika Thabeet hajawahi kufika Mtanzania yeyote, kaweka rekodi, na mkwanja anaolipwa hakuna mtanzania yeyote kwenye michezo anakula kitita namna hicho hata yule aliyepigwa picha za uchi kule Play Boy, hampati mkwanja wa Thabeet.

Mwacheni, mlimfikisha nyinyi huko? au mnaijuwa Basket Ball zaidi yake? kuna watu wanaingia NBA mpaka wanaondoka kazi yao kukaa benchi tu. Si bora yeye anakipiga japo kwa muda mfupi kila mechi. Huyo ana kazi yake aliyopangiwa na anaifanya vyema, kama haifanyi usingemuona hapo, kuna watu wanapataka hapo kufa na kupona.

Rombo M., nakubaliana nawewe kabisa kwamba hakuna Mtanzania yoyote aliyewahi kufikia alipo Hasheem, narekodi yake nadhani itakuwepo kwenye Historia ya michezo ya Tanzania MILELE. Lakini nadhani, aidha umeamua kumtetea au hauijui histora ya Hasheem kutoka College (Connecticut) mpaka NBA.

Pia sijakuelewa hapo kwenye RED unamaanisha nini? Kwamba kwa sababu mhusika ni Mtanzania its OKEY to settle for less money? Really? Sidhani kama hiyo ni mentality ya Watanzania wote.<o:p></o:p>


Hebu fikiria; Mshahara wa Rookie in NBA ktk ile miaka 3 ya kwanza ni chini ya $ Mil. 3 na ushee hivi.
Lakini akiweza kusign contract ya pili inakuwa si chini ya dolla millioni 20, kulingana na muda wa contract. <o:p></o:p>
Sasa japo ni kweli kwamba Hasheem analipwa mkwanja kushinda Mtanzania yoyote, Je kuna ubaya gani akiongeza bidiii na kulipwa mara kumi zaidi ya huo mkwanja anaopokea sasa hivi ?<o:p></o:p>
 
Mpiga Nyoka hao wengine ndani Rockets hawanihusu na sina habari nao, lakini Thabeet ni Mtanzania mwnzetu ndio maana najaribu kutafuta majibu. Kumbuka kwamba, alikuwa kama muwakilishi wetu kwenye NBA, na ilikuwa FARAJA kubwa sana kwetu kumuona akicheza na kusikia Tanzania ikitajwa kila mara. Ni vibaya kama umeridhika na vidakika vichache anavyovipata, lakini sidhani kama hiyo inafafanua kwa nini kijana wa miaka 25, na mwenye urefu wa 7 foot 3 ( very rare height in NBA) anapata hivyo vidakika vichache? Na unamaanisha nini unaposema wana Bacground tofauti? Je unamaanisha kwamba sisi Watanzania hatuna uwezo wa kucheza kwenye ligi ya NBA?

Kwanini unasema alikuwa mchezaji wetu NBA? Kwani saiv hayupo? Me ninachosema ni kwamba league ni ngumu japo mshikaji kweli hafanyi vizuri lakini tungempa muda he is only 25 now. Sometime kuwa kwenye kiwango inatokea kama bahati iliyompata Jeremy Lin.
 
Kweli kwene mahaba chongo huitwa kengeza..hivi Lin na Hashimu wapi na wapi?
Last week nilishuhudia dogo Lin was tattooing the mighty Lakers, and tearing them apart, dogo ni fearless and he holds nothing back kudhihirisha kiwango chake kwa sababu ana manfidens na anajua nini anaweza kufanya. Hashim yeye upande wake ni muoga kinyama na anacheza kama anaogopa kuchemsha hivi, hivo kuishia kugawa pasi tu na viblock viwili vitatu per season. Kwa wale ambao bado wapo optimistic na kiwango cha dogo, goodluck with that.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom