Hasheem Thabeet afanya kufuru, amwaga mamilioni disco!

I think he would be better off if he was working on his game at Hakeem Olajuwan's Summer basketball Camp (for big men, centers, like Hasheem) in Houston Texas. Labda kambi hilo halijaanza mpaka season imekwisha manake fainali zinaendelea kwa sasa. Ningekuwa mshauri wake ningepester mpaka ahudhurie bila kukosa kambi hili makini kabisa kwake la sivyo he will be forever be linked to the name Hasheem "Thabust" Thabeet, as he will soon be regarded as a bust from University of Connecticut!

Aende kuhudhuria kambi ya hakeem "The Dream" Olajuwan, huyu, ha!!
 
Wabongo mlivyo wanafiki, aki lost hapa mtaanza kuponda sasa hivi anatumia mnasema acheni atumie si za kwake? Najua mshikaji bado ni kijana mdogo sana na hiyo cash ina mzuzua na ukizangatia kwa mtanzania kwa umri kama wake kuwa na fedha nyingi kiasi kile ni nadra sana au naweza kusema yeye ndio wa kwanza..
Jamani mshaurini vizuri sio kumpa sifa za kijinga na mtanzania mwenzetu

Hapo kwenye red ninaongezea........ Aliyezipata kihalali, maana mind you kuna vifisadi vyenye mkwanja mkubwa kama huo!!
 
Biamba Marie Mutombo Hospital

In 1997, Mutombo with the Mutombo Foundation began plans to open a $29 million, 300-bed hospital on the outskirts of his hometown, the Congolese capital of Kinshasa. Ground was broken in 2001, but construction didn't start until 2004, as Mutombo had trouble getting donations early on although Mutombo personally donated $3.5 million toward the hospital's construction.[16] Initially Mutombo had some other difficulties, almost losing the land to the government because it was not being used and having to pay refugees who had begun farming the land to leave. He also struggled to reassure some that he did not have any ulterior or political motives for the project.[16] However, the project has been on the whole very well received at all social and economic levels in Kinshasa.[16]
On August 14, 2006, Dikembe had donated $15 million to the completion of the hospital for its ceremonial opening on September 2, 2006. The hospital was by then named Biamba Marie Mutombo Hospital, named for his late mother, who died of a stroke in 1997.[20][dead link]
When it opened in February 2007, the $29 million facility became the first modern medical facility to be built in that area in nearly 40 years.[21] His hospital is on a 12-acre (49,000 m2) site on the outskirts of Kinshasa in Masina, where about a quarter of the city's 7.5 million residents live in poverty. It is minutes from Kinshasa's airport and near a bustling open-air market. The hospital has full telemedicine capabilities with the United States and Europe through the network established by Medical Missions for Children.[22]
 
NBA IS ONLOCK..HANA JEURI HIYO SASA HIVI...MUCH MUCH ATAKUWA ANAJUTIA PESA ALIZOKUWA ANAZIMWAGa..
 
DSC_0456.jpg


hapa dogo akiingia na jokate kudadadeki....
20.jpg


shori jokate hapo anauwazia mkwanja tu....
5.jpg


lol kudadadeki later kidogo hasheem na shori wake jokate wakasepa....viti vyao vikiwa na watu wengine....
Duh!
Yo Yo Ukifunguliwa tu,haipiti muda unrudishwa selo,teh teh teh,sawa na Nyani Ngabu.
 
Nobody is ready to show you the right way to sucess, all they will do is to wait and see what you choose and then began to critise you!
 
Ukiacha Bils, Thabeet pia amekuwa akitembelea viwanja vingine vya dar karibu kila usiku ikiwemo Nyumbani Lounge kwa Lady JD na Mafian kwa Kimbau. Huko amekuwa na tabia ya kuingia nyuma ya counter na ku-serve vinywaji kwa wateja bure yeye mwenyewe na bili yote hulipa yeye. Alionekana akifanya kufuru hizo huku akiwa ameambatana na girlfriend wake, Jokate.
Jokate
 
Mimi ningemshauri Hasheem arudi Texas na kufanya mazoezi ya summer ya kati ya Yao, Olujuwon au Mutambo badala ya kutanua bongo kwa sasa. Ukweli ni kwamba kiwango chake kimeshuka kiasi kwamba timu ya Rockets inafikiria kununua contract yake. Hii ni kwamba wanamlipa pesa ya kumtoa kwenye timu. Hii sio nzuri kwani timu nyingine hazitaweza kumsajili mchezaji wa hivyo. Mimi ninajua Hasheem anao uweza wa kupandisha kiwango chake lakini ni mvivu na anapenda sifa badala ya game. Anaweza kupata pesa nyingi kwa miaka iliyobakia kwenye mkataba lakini ni lazima uelewe kwamba wewe bado ni mdogo na hiyo pesa bila kuwekeza vizuri na makodi ya marekani na ma agent utaishiwa mika 10 ijayo na huwezi kufanya kazi. Achana na marafiki ambao hawakuambii ukweli na tafuta vijana waliotulia kama kaka zako hapa Texas wakushauri bila kujali unawapa nini.
WAtu mna upeo wa kuona mbali.
 
Nashukuru nilikuwa na mimi nasishi Houston lakini hakusikiliza sasa anahaha bure. Mengi nayo ongea hapa mtandaoni yanatimia
Natamani kama angelipata muda wa kusoma ulichokiandika kwa wakati ule miaka zaidi ya 10 iliyopita. Ulikuwa ushauri wenye kila kitu, kuonya wapi atateleza na kupendekeza suluhisho. Kwa mara ya kwanza naona JF comment iliyokuja kuwa utabiri uliotimia. Wakubwa ni wakubwa tu, wameshaona mengi wasikilizwe wanaposhauri na uzuri ni kwamba ulikuwa huko huko USA so ulikuwa ukishauri sio kwa kubabia bali kwa uzoefu halisi wa huko.
 
Back
Top Bottom