Hasheem kazini!

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
183468_182733651769649_100000990458909_415155_3768488_n.jpg
kaza buti binamu utangazaje jina la nchi yako!
 
mkuu mbona unatuwekea picha za zamani hapa hebu tuwekee za sasa huko HOUSTON ROCKETS.
 
Acha huo uongo wako... Hasheem hajafanya kazi yoyote NBA zaidi ya kula mshahara mrefu wa bure. Cha msingi dogo asitumie hela vibaya ili akirudi bongo aendelee kutesa. "Thabeet could be sent to the D-League to show his potential before logging time with the Rockets, the Houston Chronicle reports. Head coach Rick Adelman seemed frustrated with the acquisition of Thabeet, saying "I don't know what I'm supposed to do with him." The Rockets have a lot of size and are still trying to make the playoffs, so they don't have a time to experiment with Thabeet, who hasn't shown much in his two years in Memphis. Either way, Thabeet holds very little fantasy value.
Hapo kila kitu kuhusu dogo hadharani. JK kamponza, alimfundisha uvivu.
 
Watanzania walivyo! huyu jamaa sizani kama anatangaza nchi atakuwa anakula posho tu!

hili jukumu la kutangaza nchi alipewa na nani? I remember kuna watu wanalipwa kodi zetu kufanya hiyo kazi. what happened?
 
weweeeeeeeeee,balozi anafanya nn???? mwache ale pesa yake.........atangaze nchi gani na kwa kipi........:lol:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom