Ama mnajua kujisumbua na kujipa taabu na balaa. Wewe mtandaoni ni wa kusumbuka kutafuta mwenza. Watoto wazuri vigori na heshima zao wapo jirani hapo hapo ulipo au karibu na nyumbani kwa wazazi wako.
Funga ndoa, ina baraka na faraja maishani lakini wekeza kwenye kutafuta anaefaa kuwa mke mwema na mama wa familia.