Mimi sikubaliani na wewe kwenye point hii hapa, vifo kwa miaka hii ya sasa havijali umri mkuu. Ni Mungu tu anatulindaKuna uwezekano wa kumwacha mke wako akiwa mjane, wewe kutangulia mbeleya haki.
Mimi sikubaliani na wewe kwenye point hii hapa, vifo kwa miaka hii ya sasa havijali umri mkuu. Ni Mungu tu anatulindaKuna uwezekano wa kumwacha mke wako akiwa mjane, wewe kutangulia mbeleya haki.
Mimi sikubaliani na wewe kwenye point hii hapa, vifo kwa miaka hii ya sasa havijali umri mkuu. Ni Mungu tu anatulinda
We una stress zako nahisi sasa unataka pa kuzishushia....nani kakwambia kuoa ni amri? Aidha huo umri ulioutoa nani kauweka kama limit? Single life is Great,Fantastic and enjoyable
-Hakuna wa kupigizana kelele
-Nakula,nalala,navaa nnavotaka..kokote nnakotaka muda wowote nnaotaka
-sihangaiki kumridhisha mtu.
-i have my strenghts and focus on other issues,charity,development,fun fun fun
and most of all...i dont have to put up with these corrupted of so called relatioships of these days.........
ahahahaha Happy and proud and praying to be single now and forever
amen! 😛ray2:
Piga hesabu, Mtoto form one atakuwa ana miaka 14. Je Baba atakuwa na miaka mingapi?
Atakua na 90😕
Duh......99% atakua ameshakufa. Mnatujazia mayatima tu na kutesa watoto kwa kukosa malezi🙁
^^
Whatever is excellent
^^
Na 23 yangu bado sanaa naona...
Na 23 yangu bado sanaa naona...