Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
Kuna wakati ililetwa habari humu baba mmja kule tabata alitengana na mkewe akabaki na mtoto wake wakiume ,kumbe akaanza kumlawiti yule mtoto wa darasa la 4 mpkaka sasa hawezi zuia haja kubwa anajinyea hovyo ,urudi kwenye hii story hapo juu ni yale yale wanaume ni viumbe hatari sana na hawana akili kabisa yaani nawalaumu sana wamama wanaotengana nakuwaacha watoto mikononi mwa wababa au mama wa kambo bora nikafie mbali na wanangu ,
pia kuna dada mmja alikimbia na mwanae nakuaa ne kwa mume mwingine dada yule alikuwa nesi ile akitoka huyu baba anamwingilia mwanae bahati nzuri siku ile ya kwanza majirani walimuwahi imebidi afungwe maisha ,unaona unaweza kumbia nao pia huko uendako pakawa hatari zaidi! WANAUME NI VIUMBE LAANA KATIKA HII DUNNIA ,HUWEZI TOFAUTISHA NA PIG AMBAYE ANAKULA MTOTO WAKE WAKUMZAA ,nawaogopa sana kufika kwenye suala la watoto.