Hasara juu ya hasara( hasara promax)

 
Mungu aangamize wale kenge woote wa mi5 tena maana ile ni laana ya taifa..

Hili nalo litapita salama tu,
nchi hii ina vituko sana, mwaka wa 60+ wa uhuru lakini barabara shida, umeme tabu, maji changamoto, afya kipengele, elimu tia maji tia maji.
Kila kitu hovyo.

Bora turudie ukoloni tu.
 
Leo MaCCM yaliposikia Lissu yupo Tunduma yakapanga kuhujumu Mkutano. Yakazuia gari za matangazo, DED akazuia kutumika kwa viwanja vyote vya mjini. Yakazuia press ya Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Songea kuwakaribisha watu kwenye mkutano wa leo. Kwa kuwa kiwanja cha mkutano alichopewa Lissu ni nje ya mji, wananchi wengi walitegemea kwenda kwa bodaboda, lakini maCCM yakalipa boba zote ziondoke maeneo hayo. Lakini haikua tabu, wananchi wametembea kwa miguu na wamejaza uwanja. Sasa wamepata muhaho. Hawaamini macho yao. #NoReformsNoElection ✌️✌️
 
Ccm na serikali yake kwa walivyo mabingwa wa kutengeneza propaganda na wanavyowajua wadanganyika wengi, tungemee propaganda za kutosha, kutumiwa Simba na Yanga, kashfa za watu wakubwa usishangae kuimbuliwa ili tu kuwatoa wadanganyika kwenye kuhoji hoji.
 
Nchi wanapeana vyeo kwa ujamaa na kufahamiana, usitegemee mtu kuwajibishwa kwa haki. Hii nchi inazidi kuzama kwenye tope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…