Has your house ever caught fire?

au hata almannusra......

What happened?

Boflo ndo nini kukumbushana machungu? Sitokaa nisahau. Angalau nilimkumbuka binti yangu, nikazama chumbani na kutoka naye nikipita katikati ya moto, nathubutu kujiita baba shujaa.
 
Kweli unajali....na wakati huo mke naye alisalimika??
 
By the time namkabidhi binti kwa majirani ilinisaidie kuzima moto, ndo nikagundua wife kalala chali, kishazimia saa nyiiingi! Harakati za kusaidia kuzima nikazipotezea nikawahi kumkimbiza wife hospitali. Ndo pia nikathubutu kujiita mme shujaa.

duh! Kweli huo ni ubaba shujaa,
You can say that again.
 
Hii habari acha kabisa Boflo! Sikia kwa watu yakikukuta utatamani ardhi ipasuke! sisahau ilikuwa tarehe 06/07/2011 usiku wa kuamkia saba saba kama saa kumi hivi alfajiri. Moto ulianzia kwenye meter ya luku ukakamata cilling board! acha ngoja ninyamaze maana nikikumbuka nashindwa kuelewa nilifanikiwa je kuuzima! Ni Mungu anajua.
 
Last edited by a moderator:

daaah pole sana mkuu
 
Kiukweli kabisa mkuu, haya mambo yasikie tu kwa watu!
 
Back
Top Bottom