Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

Unapomnyooshea kidole mwenzako vidole vingine vitatu vinaelekea kwako mwenyewe ilihali dole gumba likielekea ardhini.kiukweli hakuna aliye safi wote tumechafuka,na sisi (mimi na wewe) ndio haswa tunajitaidi kujiosha lakini wapi kinachobaki ni lawama tu na kujifanya tuko mlengo shoto.hii haitatusaidia kamwe,na endapo tutajifanya kuwa mabingwa wa kulaumu bila kijishughulisha vizazi vyetu vijavyo vitaendelea kutawaliwa na wajukuu wa wale tunaoona wametuzidi kete.muda ni sasa kwani kuporomoka au kupanda chati kwa nd.kikwete si kigezo cha kutufanya kunyong'onyea kifikra na kujiona tu wapweke kiuchumi.
 
Mimi nafikiri umefika wakati aw kuchukua hatua kwamba kile bora na kinacho FAA basi kifanyike. Tuache tabia kuendelea kutafuta mchawi na badalayake tubadilike uwezo tunas tukianza Mimi na wewe wengine watafata. Mungu ibaraki Tanzania
 
kha, hii noma, haya kasema yeye na yale kasema yeye, duh nafsi lazima imsute kwa kweli.
 
Baadhi ya posts zake zingine hizi hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/196909-has-kikwete-lost-his-legitimacy-to-lead.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-wapiganaji-walio-ccm-warudishe-kadi-au.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mani-historia-ya-taifa-letu-katika-picha.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/52980-mungu-lihurumie-taifa-hili-na-wananchi-wako.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/26924-ccm-kamati-kuu-kukaa-chini-dar.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/24557-naibu-katibu-mkuu-wa-uv-ccm-asimamishwa.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/28690-subash-patel-press-conference.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/28637-ma-dc-wanawake-hebu-tuwekane-sawa-sasa.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/53711-mramba-another-challenge.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/254835-maghembe-azua-kizaa-zaaa.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/255552-jimbo-la-segerea-nini-ccms-plan-b.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/234856-kibanda-my-respect-and-salute.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/85743-wapinzani-bungeni-2010-kazi-ya-kwanza.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/54291-je-ccm-itatawala-milele-au.html

https://www.jamiiforums.com/tanzania-2010-2015/87667-vipi-mgombea-lwakatare-na-bukoba.html

https://www.jamiiforums.com/tanzania-2010-2015/3036-nini-hatma-ya-upinzani-tanzania.html

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/1276-breaking-news-mabalozi-wapya.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/2425-spika-amsamehe-zitto-kabwe-bravo-zitto.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ufa-bila-political-activists-and-critics.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-taifa-zamani-ni-nani-na-walifanya-nini.html

https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/1112-es-wakati-wa-kusonga-mbele.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/71-ni-kweli-viongozi-wetu-wengi-ni-wagonjwa.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/303-london-kibelloh-and-disturbing-news.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/5648-zitto-and-dr-slaa-ombi-kwa-wanaforum-wote.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/19374-wanafunzi-tangazo-maalum.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/14378-kutoka-dodoma.html

https://www.jamiiforums.com/nafasi-...diem-court-interpreter-job-opportunities.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/21748-uvccm-yapata-uongozi-mpya.html

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/8830-ninahitaji-msaada-wakuu-jf.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-kulikoni-mzee-kujaribu-kumpotosha-rais.html

https://www.jamiiforums.com/jamii-i...a-aghushi-na-kutafuna-mamillioni-ya-pesa.html

https://www.jamiiforums.com/habari-...is-wetu-amesafiri-na-watu-50-and-freeman.html
 
Ukisoma posts za zamani za huyu Field Marshall ES, then ukasoma anachoondika sasa, unapate a very disturbing picture! Tumeona fujo za kutaka uongozi - very aggressive but incredibly disorganised, na mtu anaweza kusema kulikuwa na tamaa ya kuingia kwenye 'ulaji' and nothing else. It is not clear ni kitu gani watu wamelishwa, ila ni wazi mtizamo umebadilika - tena bila ya hatua zozote kuchukuliwa dhidi ya yale aliyokuwa anakereka nayo! Yale aliyokuwa anapinga/kutaka watu wakemee, bado yako vile vile, kama si zaidi, lakini sasa anasifia! Why?

Interestingly, kuna post yake humu wiki hii anahamasisha watu wasimame kwenye mambo wanayoamini - and be counted! Sasa, yeye anasimamia nini? What does this chap stand for? Hivi ni kweli yuko hapo alipo kwa sababu anaamini ni kwema au kwa sababu anataka cheo? Yuko kwa ajili ya watanzania walala hoi, au yuko kuboresha afya binafsi?
 
Good questions, good questions. Food for thought.
 
Kaka:

Ama kweli wewe kigeu geu, na sijui kama kina Nape na wengine wanaelewa unasimamia wapi; Tazama uliyoandika hapa dhidi ya Kikwete, tena personal attacks on him, and only three years later, tena utawala wake ukiwa umelemewa maradufu na suala la Ufisadi, unazungumza maneno mengine kabisa ya kumpamba;

Sasa nakuelewa wewe ni mtu wa namna gani na unatafuta nini ndani ya CCM; Sasa nakubaliana na wengi humu kwamba kujibishana na wewe ni kupoteza muda na kuchezeana tu akili, kwani unachotafuta wewe kinazidi kudhihirika; Hakuna hata chembe ya maslahi ya taifa wala chama hapo, lakini cha ajabu ni kwamba Watu kama nyie ndio mnaaminiwa kuokoa jahazi la CCM katika muktadha wa sasa; Sio ajabu Chama kinazidi kudidimia kwani kipo mikononi mwa wrong people, who are just 'opportunistic'; CCM itajengwa na watu wenye kusimamia wanayo amini, sio wanayopewa, and you belong to the later, not the former;

Nakuonea huruma sana Kaka kwani kwa mwendo huo, you wont last in this game of politics, unaendekeza yale yale ambayo Mwalimu Nyerere throughout alituonya jinsi gani yanaua Chama na kujenga uadui ndani ya Chama: Unafiki na Ubinafsi;

- siku zote nimekuwa mpiganaji nataka mabadiliko ndani ya CCM, siogopi mtu na ndio maana simuogopi yoyote humu kama ambavyo simuopgopi yoyote ndani ya CCM, I am a man of my words, CCM chama changu kikikosea nakirekebisha, kion gozi yoyote wa CCM akikosea namrekebisha, sio kama nyie huko Slaa ana kadi ya CCM mnalia kila kona kmutetea, Mbowe anauzia Chadema malori mabovu mnahangika kila mahali kumtetea, mimi ni FMES, RO alipopewa nafasi nilimshambulia kuliko anybody humu JF na nje ya hapa, you know that na baada ya kufanya kazi in two years ninakakubali kwamba he is the best ever to our Security!!

- Nape ameingia uongozi wa Taifa kwa kurekebisha sio kwa kujikomba komba kama nyie huko Chadema, sisi hatuina hizo Tabia, akikosea hata awe nani anarekebishwa, Chadema hamna huo ubavu, sasa ngoja niwape bomu lingine ni jana tu nilikuwa nambebeleza Msichana mmoja toka Europe, yupo hapa likizo kuna Kiongozi wenu Chadema mashuhuri sana alienda huko akataka kumbaka na kesi ipo mahakamani kule majuu, nilikuwa nambembeleza aifute kesi kwa sababu yule Kiongozi ni rafiki yangu na nisingependa amalizike ingawa ni Chadema, ndio tabia zenu huko Chadema unafiki! unafiki na kutoambiana ukweli, CCM tunambiana ukweli tizama Video Makamba aliposhukia mafisadi Dodoma, na karibu wote ni marafiki zake wa karibu,

- Mimi ni CCM damu always sijawahi kuwa Chadema never na will never be, siku zote nimekuwa CCM na hoja zangu ni kuisaidia CCM na kuirekebisha CCM, Nape did the same, kama ni uanfiki na ukigeu geu ni huko kwenu ambako Slaa anaweza kugombea Urais akiwa Chadema na huku ana kadi ya CCM na anailipia!, najua mna hasira maana I am the master of this game na in the last ttwo weeks nimeigeuza this forums kichwa juu, mnababaika hamjui la kufanya maana mlizoea kujadiliana watu wote wenye mawazo sawa, akitokea mwenye mawazo tofauti mnamfungia na kumletea viroja, sasa mmekutana na jiwe, siwaogopi na wal sina wasi wasi kabisa na unafiki wenu!!

- Ni kweli at onetime tulipoanza tulikwua almost tuna ongea lugha moja ya mabadiliko, lakini never didi I betrayed my party CCM, mimi siiamini in watu never ninakiamini chama changu CCM na I work day and night for CCM, Viongozi wa CCM wanakuja na kupita CCM ipo pale pale, wakikosea nawambia tafuta Video zangu zote nikiwa huku bongo kila wakati ninairekebisha CCM, so people hapo hamna hoja kaeni tu mkao wa kula maana I am here na mawe yanakuja, ninawaonea sana huruma maana mnahangaika sana kuteteta msichokijua, infact wiki mbili sasa mnacheza muziki wangu, lakini bado nawaahidi kuigeuza hii sodoma and Gomora, mpaka kufikia uchaguzi 2015 mtakuwa maiti Chadema, I promise that with all my heart and soul!!

- Kuna siku mtoto wangu mdogo aliona matusi yenu Facebook, akaniuliza what is that, nikamuaahidi kwamba wale wote waliotukana na chama chao nitawafundisha adabu, na ndio maana nikarudisha vita hapa hapa JF! and here I am!!

- IN MY POCKET: NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MASHUHURI SANA KUTAKA KUMBAKA MSICHANA MDOGO DANA LONDON, NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MWINGINE MASHUHURI SANA KUMTIA MIMBA KIONGOZI WENU HUYU AKIWA NA MKE NA WATOTO, NINA DATAZ NYINGI SAANA, ILA KAENI MKAO WA KULA CAUSE I AM COMING TENA ON MY TIME SIO YOUR TIME, NDIO MTAKIJUA VIZURI SANA KIGEU GEU CHANGU!!

SUPER ES!!!
 
Kuna tatizo kubwa kuhusau namna ya kutumia mamlaka kwa mwenye mamlaka na namna ya kuwajibisha mamlaka pale inapoenda sivyo. ni sehemu nyingi sana wakuu huvurunda na kutumia mamlaka vibaya. hali hii huchukua muda mrefu sana watu wakilalamikaka; kazi haziendi kwa ufanisi haupo lakini jambo lipaswalo kufanywa halifanyiki. kwa kuwa mimi ni mfanyakazi nimeshuhudia udhaifu wa viongozi mahala pa kazi lakini wahuska wanaendelea vilevile na ubovu wao; kazi zinadorora. hali ni hiyohoyo ngazi za juu katika mawizara, mashirika na taasisi.
there must be some guiding principles ambazo zitaeleza wazi jambo la kufanya katika hali kama hii. ikiwa kiongozi ni dahifu ni lazima watu wawe wazi na wakweli. Kwa nchi tungeweza kuwa na baraza la watu wenye hekima ambalo litajumuisha watu mashuhuri kama majaji na maraisi wastaafu, viongozi wa dini na wanazuoni. baraza hilo likipewa hadhi na heshima linaweza kutoa ushauri na matamko ambayo yatasaidia taifa letu. kwa kweli ni vema tu tukiri kuwa hali si nzuri. hata wanafunzi wetu wanaposhinda kufanya vizuri tatizo linaweza kuwa limeanzia mbali kutoka kwa wala rushwa mafisadi na kwa ujumla mporomoko wa maadili.
 
I remember very well when I was a part time teacher in one secondary school in Mwanga District, Dr Kitine came to our school with Ciliopa Msuya to see and appreciate the development acquired by Mwanga district while it was seriously marginalised when it was part of Same district. One thing I learned during my childhood is that, Tanzanian citizen were willing to invest their money and effort to push the nation forward. BUT with the current situation where the ruling class are like our colonial mastaers squandering all the nations' fortune while the Wananchi are suffering, who else can work that diligently for this county? Tanzania needs a radical transformation to restore the aforementioned spirit.

Sorry, my Kiswahili is very poor.

Dk Hassy Kitine, isn't that the guy who brought Makete at the verge of collapse, who obviously his whole life stole from left, right and center?

A so called MP, who rather ripped off his district than doing sometthing for its development. Isn't Makete the place were 100dreds of NGOs are registered dealing with development, orphans, AIDS... but the money seems to end in the pockets of people not in Makete. Isn't that a very good example for the real problems of Africa?

Not any longer the aftermath of colonialism and not even corruption, the problem is theft and that all the money poured in had not helped even a bit, but has indeed financed bunches of criminals, who made it up in any institution, be it ministries (MoH), land and settlement and likely any can put on the list, isn't it the church who should be put here as one of the most disgusting and prominent members and isn't this system one, where also criminal businesspeople from Tanzania and abroad can steal....?
 
- siku zote nimekuwa mpiganaji nataka mabadiliko ndani ya CCM, siogopi mtu na ndio maana simuogopi yoyote humu kama ambavyo simuopgopi yoyote ndani ya CCM, I am a man of my words, CCM chama changu kikikosea nakirekebisha, kion gozi yoyote wa CCM akikosea namrekebisha, sio kama nyie huko Slaa ana kadi ya CCM mnalia kila kona kmutetea, Mbowe anauzia Chadema malori mabovu mnahangika kila mahali kumtetea, mimi ni FMES, RO alipopewa nafasi nilimshambulia kuliko anybody humu JF na nje ya hapa, you know that na baada ya kufanya kazi in two years ninakakubali kwamba he is the best ever to our Security!!

- Nape ameingia uongozi wa Taifa kwa kurekebisha sio kwa kujikomba komba kama nyie huko Chadema, sisi hatuina hizo Tabia, akikosea hata awe nani anarekebishwa, Chadema hamna huo ubavu, sasa ngoja niwape bomu lingine ni jana tu nilikuwa nambebeleza Msichana mmoja toka Europe, yupo hapa likizo kuna Kiongozi wenu Chadema mashuhuri sana alienda huko akataka kumbaka na kesi ipo mahakamani kule majuu, nilikuwa nambembeleza aifute kesi kwa sababu yule Kiongozi ni rafiki yangu na nisingependa amalizike ingawa ni Chadema, ndio tabia zenu huko Chadema unafiki! unafiki na kutoambiana ukweli, CCM tunambiana ukweli tizama Video Makamba aliposhukia mafisadi Dodoma, na karibu wote ni marafiki zake wa karibu,

- Mimi ni CCM damu always sijawahi kuwa Chadema never na will never be, siku zote nimekuwa CCM na hoja zangu ni kuisaidia CCM na kuirekebisha CCM, Nape did the same, kama ni uanfiki na ukigeu geu ni huko kwenu ambako Slaa anaweza kugombea Urais akiwa Chadema na huku ana kadi ya CCM na anailipia!, najua mna hasira maana I am the master of this game na in the last ttwo weeks nimeigeuza this forums kichwa juu, mnababaika hamjui la kufanya maana mlizoea kujadiliana watu wote wenye mawazo sawa, akitokea mwenye mawazo tofauti mnamfungia na kumletea viroja, sasa mmekutana na jiwe, siwaogopi na wal sina wasi wasi kabisa na unafiki wenu!!

- Ni kweli at onetime tulipoanza tulikwua almost tuna ongea lugha moja ya mabadiliko, lakini never didi I betrayed my party CCM, mimi siiamini in watu never ninakiamini chama changu CCM na I work day and night for CCM, Viongozi wa CCM wanakuja na kupita CCM ipo pale pale, wakikosea nawambia tafuta Video zangu zote nikiwa huku bongo kila wakati ninairekebisha CCM, so people hapo hamna hoja kaeni tu mkao wa kula maana I am here na mawe yanakuja, ninawaonea sana huruma maana mnahangaika sana kuteteta msichokijua, infact wiki mbili sasa mnacheza muziki wangu, lakini bado nawaahidi kuigeuza hii sodoma and Gomora, mpaka kufikia uchaguzi 2015 mtakuwa maiti Chadema, I promise that with all my heart and soul!!

- Kuna siku mtoto wangu mdogo aliona matusi yenu Facebook, akaniuliza what is that, nikamuaahidi kwamba wale wote waliotukana na chama chao nitawafundisha adabu, na ndio maana nikarudisha vita hapa hapa JF! and here I am!!

- IN MY POCKET: NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MASHUHURI SANA KUTAKA KUMBAKA MSICHANA MDOGO DANA LONDON, NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MWINGINE MASHUHURI SANA KUMTIA MIMBA KIONGOZI WENU HUYU AKIWA NA MKE NA WATOTO, NINA DATAZ NYINGI SAANA, ILA KAENI MKAO WA KULA CAUSE I AM COMING TENA ON MY TIME SIO YOUR TIME, NDIO MTAKIJUA VIZURI SANA KIGEU GEU CHANGU!!

SUPER ES!!!
Na wewe unasemaje kuhusu wale uliowatapeli kwa kisingizio cha kupata ajira?
 
Ulianza vizuri lakini unakoelekea sidhani kama panamsaidia mwananchi CCM wanaye muita wakawaida!!!

Wasalam

Kwako Mheshimiwa Raisi Jakaya Mrisho Kikwete,
15, September, 2007
From: Field Marshall ES (Emergency System)

Kwa kawaida, katika nchi kama yetu Tanzania, state organs kama Bunge, Mahakama, na Jeshi, huwa vinatakiwa viwe vimeundwa na katiba yetu kutetea na kulinda the common good na interest ya jamii yetu. Kwa hiyo haki za binadamu na common good, ni complimentary values ambazo wanasiasa na viongozi wetu Tanzania, mnatakiwa kuzielewa na kuziheshimu, ili msije mkajikuta mko upande wa pili wa wananchi, kama vile tatizo linaloendelea sasa hivi la Bunge letu na Mbunge maarufu Zitto, tatizo ambalo linatufanya sisi wananchi wengi kuwa na mtizamo mzito kibin-adam katika kutathmini ajali iliyomkuta Mbunge wa CCM, jimbo la Mchinga hivi karibuni.

Tabia ya yenu viongozi wetu, kuvitumia vyombo muhimu vya state organs kwa kuwa-harass na kuwaonea, au kuwafunga bila ya due process wale wanaoajaribu kuyauliza baadhi ya maamuzi yenu kwa taifa hili, ni tabia mbaya yenye nia ya kutaka kui-reduce nchi yetu ili iwe ni almost the property of predatory elites. Ukweli ni kwamba ni collectivity of persons ambao mna-occupy commanding positions katika some important sphere of social life na ambao mna-share a variety of interests arising from similarities of training, experience, duties na the way of life yenu.

Ili ku-promote interest zenu, huwa mna-seek to cooperate and coordinate, matendo yenu kwa means za corporate organizations, kama vile kamati kuu yaani CC. Interest zenu zinaonekana kuwa articulated in a formal association hasa kwenye political sphere. Ingawa pia mnaanza kuzi-extend interest zenu mpaka kwenye vitengo muhimu kwa jamii yetu, kama ujenzi, afya, na biashara nakadhalika.

Wananchi masikini na walalahoi kama sisi na viongozi wetu kina Mheshimiwa Zitto, huwa hamtualiki ku-take part au kutoa maoni yetu kwenye hayo maamuzi muhimu ya taifa letu, the matter of fact hata public opinion kwenu does not matter. Tabia kama hizi zinaashiria tu kuwa serious reform katika kuandaa system yetu kuanzia ya katiba mpaka ya siasa, hapa nchini kwetu Tanzania inahitajika sasa hivi na tena kwa haaraka sana! Maana wanasiasa wa CC peke yenu historia inaonyesha kuwa hamuwezi ku-accomplish hiii task ya reform, bila ya kutuhusisha sisi wananchi at large, na sio nyinyi kutuwekea agenda kama alivyojaribu kufanya waziri Nagu majuzi, kwa kutuambia kunahitajika mabadiliko ya term za wabunge. Hatuwaamini tena wanasiasa wako na mawaziri wako ambao wengi wao katika kipindi cha mwaka mmoja tu cha madaraka yako, wamekuwa mstari wa mbele kujaribu ku-reduce siasa to a game of lying, corruption, na manipulating sisi wananchi masikini na walalahoi.

Kwa hiyo Mheshimiwa rais, tuki-examine the aforementioned situation with a critical eye, tutagundua kuwa taifa letu lina-present an odd dichotomy kati ya political activists na critical thinkers kama kina Mheshimiwa Zitto, na the common good kwa taifa letu. Ina maana kwamba itakuwa ni vigumu kwetu kama taifa kuwa na peaceful na prosperous society katika situation ambapo viongozi kama nyinyi ambao mnatakiwa ku-stand for the common good, mnaonekana kuanzisha vita vikali dhidi ya sisi wananchi masikini na wawakilishi wetu kama Mtikila, na Mheshimiwa Zitto.

Kwa hayo machache, ninaomba kwa unyeyekevu mkubwa kukumbusha kuwa taifa bila ya kuwaheshimu political activists na critics, kama kina Mheshimiwa Zitto, linakuwa ni taifa lilokufa kisiasa, na sisi Tanzania kama hatujafikia hicho kifo, basi tuko njiani kwa mwendo wa kasi sana kukifikia, Mheshimiwa rais pole sana na ajali ya mbunge wa Mchinga.

Wako Mwananchi aliyekupigia kura ya urais,

Field Marshall ES (Emergency System)
Mkuu Field Marshall ES, na huyu ni Le Mutuz?
 
teh teh teh huyu jamaa wa hii post mtata,
hajui anachofanya leo c ndo yupo huko huko,
af mbaya zaidi ni TAPELI WA MTANDAONI,
mi nachojiuliza hao wa CCM, NAPE NA JK hawazion hiz au dharau,
mama ang huyu akishika nchi hii, Tutatapeliwa hadi tukome.
Kifupi huyu hafai jaman
 
Na wewe unasemaje kuhusu wale uliowatapeli kwa kisingizio cha kupata ajira?

- Mahakama zipo kama unamjua mmoja tu kwa jina na ushahidi kwamba alinipa hela zake mtaje hapa, I mean huwa sina sura mbili bro nina moja tu, waulize wanaonijua kwa karibu watakwambia na wale wote waliojaribu kunitumia au kunilazimisha kuwa something I am not, watakwambia not me sina sura mbili nina moja and I fear no one!!

- Naomba mtaje mmoja tu unayemjua aliyenipa hela zake? ha! ha! ha!

Es!!
 
Baadhi ya posts zake zingine hizi hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/196909-has-kikwete-lost-his-legitimacy-to-lead.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-wapiganaji-walio-ccm-warudishe-kadi-au.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mani-historia-ya-taifa-letu-katika-picha.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/52980-mungu-lihurumie-taifa-hili-na-wananchi-wako.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/26924-ccm-kamati-kuu-kukaa-chini-dar.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/24557-naibu-katibu-mkuu-wa-uv-ccm-asimamishwa.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/28690-subash-patel-press-conference.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/28637-ma-dc-wanawake-hebu-tuwekane-sawa-sasa.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/53711-mramba-another-challenge.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/254835-maghembe-azua-kizaa-zaaa.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/255552-jimbo-la-segerea-nini-ccms-plan-b.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/234856-kibanda-my-respect-and-salute.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/85743-wapinzani-bungeni-2010-kazi-ya-kwanza.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/54291-je-ccm-itatawala-milele-au.html

https://www.jamiiforums.com/tanzania-2010-2015/87667-vipi-mgombea-lwakatare-na-bukoba.html

https://www.jamiiforums.com/tanzania-2010-2015/3036-nini-hatma-ya-upinzani-tanzania.html

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/1276-breaking-news-mabalozi-wapya.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/2425-spika-amsamehe-zitto-kabwe-bravo-zitto.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ufa-bila-political-activists-and-critics.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-taifa-zamani-ni-nani-na-walifanya-nini.html

https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/1112-es-wakati-wa-kusonga-mbele.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/71-ni-kweli-viongozi-wetu-wengi-ni-wagonjwa.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/303-london-kibelloh-and-disturbing-news.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/5648-zitto-and-dr-slaa-ombi-kwa-wanaforum-wote.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/19374-wanafunzi-tangazo-maalum.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/14378-kutoka-dodoma.html

https://www.jamiiforums.com/nafasi-...diem-court-interpreter-job-opportunities.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/21748-uvccm-yapata-uongozi-mpya.html

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/8830-ninahitaji-msaada-wakuu-jf.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-kulikoni-mzee-kujaribu-kumpotosha-rais.html

https://www.jamiiforums.com/jamii-i...a-aghushi-na-kutafuna-mamillioni-ya-pesa.html

https://www.jamiiforums.com/habari-...is-wetu-amesafiri-na-watu-50-and-freeman.html

- Yes ni mimi FMES niliyeandika hizi thread and I am proud of it, na will do that anytime I feel chama changu kinahitaji kukumbushwa siburuzwi na mtu wala anybody, this is me the man od my word!!

Es!!
 
Field Marshall ES, naona hata pro-CCM wameanza kuonea aibu service yako hapa JF.

Hongera kwa kazi mpya ya kumwaga pumba humu!

I hope utakuwa na mchango wa kukumbukwa CCM, but I am not sure whether the legacy will be positive or negative.

Best wishes W. J. Malecela.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom