Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

Daaaah sina imani na tapeli, kila leo ana kuja na msimamo mwingine!
 
Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!--FMES - SAUTI YA UMEME!!

Hizi njaa ni mbaya sana unaweza hata ukavua saruali inasikitisha sana ikigeugeu wa vijana wetu.
 
Enzi hizoooooo FMES alipokuwa anashusha vitu vya uhakika hapa jamvini kwa kutetea maslahi ya nchi na kujijengea heshima kubwa kwa wanachama wengi wa wakati huo, sijui nini kilichotokea katika kipindi cha miaka michache iliyofuata...Mhhhh! Watu wanabadilika jamani!!!! Ukisoma jumbes za FMES za wakati huo na sasa unaona kama unasoma jumbes za watu wawili tofauti!!!!

Njaa kali achana nayo.
 
- siku zote nimekuwa mpiganaji nataka mabadiliko ndani ya CCM, siogopi mtu na ndio maana simuogopi yoyote humu kama ambavyo simuopgopi yoyote ndani ya CCM, I am a man of my words, CCM chama changu kikikosea nakirekebisha, kion gozi yoyote wa CCM akikosea namrekebisha, sio kama nyie huko Slaa ana kadi ya CCM mnalia kila kona kmutetea, Mbowe anauzia Chadema malori mabovu mnahangika kila mahali kumtetea, mimi ni FMES, RO alipopewa nafasi nilimshambulia kuliko anybody humu JF na nje ya hapa, you know that na baada ya kufanya kazi in two years ninakakubali kwamba he is the best ever to our Security!!

- Nape ameingia uongozi wa Taifa kwa kurekebisha sio kwa kujikomba komba kama nyie huko Chadema, sisi hatuina hizo Tabia, akikosea hata awe nani anarekebishwa, Chadema hamna huo ubavu, sasa ngoja niwape bomu lingine ni jana tu nilikuwa nambebeleza Msichana mmoja toka Europe, yupo hapa likizo kuna Kiongozi wenu Chadema mashuhuri sana alienda huko akataka kumbaka na kesi ipo mahakamani kule majuu, nilikuwa nambembeleza aifute kesi kwa sababu yule Kiongozi ni rafiki yangu na nisingependa amalizike ingawa ni Chadema, ndio tabia zenu huko Chadema unafiki! unafiki na kutoambiana ukweli, CCM tunambiana ukweli tizama Video Makamba aliposhukia mafisadi Dodoma, na karibu wote ni marafiki zake wa karibu,

- Mimi ni CCM damu always sijawahi kuwa Chadema never na will never be, siku zote nimekuwa CCM na hoja zangu ni kuisaidia CCM na kuirekebisha CCM, Nape did the same, kama ni uanfiki na ukigeu geu ni huko kwenu ambako Slaa anaweza kugombea Urais akiwa Chadema na huku ana kadi ya CCM na anailipia!, najua mna hasira maana I am the master of this game na in the last ttwo weeks nimeigeuza this forums kichwa juu, mnababaika hamjui la kufanya maana mlizoea kujadiliana watu wote wenye mawazo sawa, akitokea mwenye mawazo tofauti mnamfungia na kumletea viroja, sasa mmekutana na jiwe, siwaogopi na wal sina wasi wasi kabisa na unafiki wenu!!

- Ni kweli at onetime tulipoanza tulikwua almost tuna ongea lugha moja ya mabadiliko, lakini never didi I betrayed my party CCM, mimi siiamini in watu never ninakiamini chama changu CCM na I work day and night for CCM, Viongozi wa CCM wanakuja na kupita CCM ipo pale pale, wakikosea nawambia tafuta Video zangu zote nikiwa huku bongo kila wakati ninairekebisha CCM, so people hapo hamna hoja kaeni tu mkao wa kula maana I am here na mawe yanakuja, ninawaonea sana huruma maana mnahangaika sana kuteteta msichokijua, infact wiki mbili sasa mnacheza muziki wangu, lakini bado nawaahidi kuigeuza hii sodoma and Gomora, mpaka kufikia uchaguzi 2015 mtakuwa maiti Chadema, I promise that with all my heart and soul!!

- Kuna siku mtoto wangu mdogo aliona matusi yenu Facebook, akaniuliza what is that, nikamuaahidi kwamba wale wote waliotukana na chama chao nitawafundisha adabu, na ndio maana nikarudisha vita hapa hapa JF! and here I am!!

- IN MY POCKET: NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MASHUHURI SANA KUTAKA KUMBAKA MSICHANA MDOGO DANA LONDON, NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MWINGINE MASHUHURI SANA KUMTIA MIMBA KIONGOZI WENU HUYU AKIWA NA MKE NA WATOTO, NINA DATAZ NYINGI SAANA, ILA KAENI MKAO WA KULA CAUSE I AM COMING TENA ON MY TIME SIO YOUR TIME, NDIO MTAKIJUA VIZURI SANA KIGEU GEU CHANGU!!

SUPER ES!!!

Duh amakweli njaa mpaka unaamua kuvua suruali njaa yako itakuwa kali sana, hayo ya viongozi wa CDM kufanya nini sijui hayatusaidii kama taifa tena unajivua zaidi na napata picha wewe ndiye ulikuwa Injinia wa ZE UTAMU MAANA UNAPENDA SANA MAMBO HAYO HOVYO KABISA WEWE.
 
[h=5]ANA KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA ANA MADEMU WAWILI JOSEHINE NA ROZIMARY ANA KAZI MBILI NI PADRE NA MWANASIASA NI MSOMI NA NI KILAZA NI WA MAMBO MAWILI MAWILI.. ANATAKA UBUNGE ANATAKA URAISI..
[/h]
 
Field Marshall ES

Mkuu kwa kifupi wewe hakuna anayekuamini tena hapa JF unapoteza muda wako bure, wewe ni Tapeli tu la mitandaoni Scammer.

- Yaani una maana maisha yangu yaliwahi kutegemea kuaminiwa na wewe? Whenw as that? ha! ha1 ha!

Wakuu JF salaam,

- Wote tumeyasikia yote yaliyosemwa kwenye kongamano la Mwalimu's Foundation, infact hata Mangula naye amejitokeza na kusema yake kuhusiana na ubovu wa serikali ya sasa chini ya uongozi wa Rais wetu Mheshimiwa Kikwete, na cha kutisha sana ni pale Rais aliporudi nchini na kudai kwamba anajitayarisha kuwajibu wale wote tunaohisi kwamba uongozi wake una matatizo, na akadokeza kwamba wengi tunaomkosoa tunasumbuliwa na chuki za binafsi.

- Ninasema hivi, wakati Rais anajitayarisha kujibu mapigo ni vyema na sisi wananchi tukaweka wazi our case against Rais na serikali yake, tena with facts! Sasa tafadhalini sana ndugu zangu tujitahidini kuweka facts za mapungufu ya Rais wetu wa sasa, yaani Mheshimiwa Kikwete na serikali yake toka ashike madaraka, miaka minne iliyopita!

- One thing ninataka kuamini ni kwamba wote hapa tunakubaliana kwamba toka ashike madaraka hakuna hata moja zuri alilolifanya, lakini kama lipo lisemwe hapa! Labda tukimuwahi kabla hajajitokeza tunaweza kupunguza some nonsense kwenye majibu yake na pia tutawasaidia ma-Prosecutors wetu, hasa DPP na Hosea kuanza kutayarisha kesi againts mafisadi!

Respect.

Field Marshall Es!

What a twist of events! Adui muombee njaa,lol!
 
- Najua unajisikia vibaya sana maana ni wewe uliyekuwa unaongoza matusi kule Facebook, sasa nikaona dawa ni kurudisha vita hapa hapa, sasa utahangaika sana wewe ulikuwa hujui unacheza na nani, wanaonijua vizuri wanajua kwamba umekanyaga makaa ya moto mamen!

- Dunia nzima inanijua inapokuja kwenye integrity, so kwenye hili nakuona kila mahali unajaribu kuanzisha ishu lakini utaishia kama wengine kama wewe waliojaribu, ila huwezi kushindana na mimi maana huwa nina ugly truths na simuogopi anybody!

- Mukama alipokosea nilichamna kwenye media, na sasa Slaa amekosea ninamchana kama kawaida, utaruka, utalia utacheka utatukana, lakini huwezi kubadili ukweli kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni makosa sana!!

Es!

Jk alikosea ukamchana pia lakini si ulisema kunamtu alichakachua id yako? au walichakachua tena id yako?
 
What a twist of events! Adui muombee njaa,lol!

[h=5]ANA KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA ANA MADEMU WAWILI JOSEHINE NA ROZIMARY ANA KAZI MBILI NI PADRE NA MWANASIASA NI MSOMI NA NI KILAZA NI WA MAMBO MAWILI MAWILI.. ANATAKA UBUNGE ANATAKA URAISI..
[/h]

- ha! ha! ha! ha! ha! ha! thios is hillarious!!

Es!
 
ANA KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA ANA MADEMU WAWILI JOSEHINE NA ROZIMARY ANA KAZI MBILI NI PADRE NA MWANASIASA NI MSOMI NA NI KILAZA NI WA MAMBO MAWILI MAWILI.. ANATAKA UBUNGE ANATAKA URAISI..

- ha! ha! ha! ha! ha! ha! thios is hillarious!!

Es!

Haaaahaaaa! Ndio maana as an individual si mshabiki wa siasa zetu hizi za maji taka...wana siasa wote kama wanafanana vile. Na vichwa vya walio wengi ni kama viko likizo ya kufikiria...
 
- Yaani una maana maisha yangu yaliwahi kutegemea kuaminiwa na wewe? Whenw as that? ha! ha1 ha!

ANA KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA ANA MADEMU WAWILI JOSEHINE NA ROZIMARY ANA KAZI MBILI NI PADRE NA MWANASIASA NI MSOMI NA NI KILAZA NI WA MAMBO MAWILI MAWILI.. ANATAKA UBUNGE ANATAKA URAISI..

kwa hiyo hii maada inalandana na mchango wako, au ndo umechanganya headings za uzi aina mbalimbali?
 
[h=5]ANA KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA ANA MADEMU WAWILI JOSEHINE NA ROZIMARY ANA KAZI MBILI NI PADRE NA MWANASIASA NI MSOMI NA NI KILAZA NI WA MAMBO MAWILI MAWILI.. ANATAKA UBUNGE ANATAKA URAISI..
[/h]

Dr. Ni mwiba wa mbigiri ukikuingia lazima utayasema yote ha ha ha.
 
- Dr. Slaa ni mwiba wa mbigiri, I love that1 ha! ha1 ha1 ha!

Es!
 
quote_icon.png
By Matola
Field Marshall ES

Mkuu kwa kifupi wewe hakuna anayekuamini tena hapa JF unapoteza muda wako bure, wewe ni Tapeli tu la mitandaoni Scammer.

- Yaani una maana maisha yangu yaliwahi kutegemea kuaminiwa na wewe? Whenw as that? ha! ha1 ha!

Kwa majibu haya sasa nimeamini kuwa Field Marshall ES=Le mutuz na tuhuma zinazokabili majina haya
 
Mimi ni CCM damu always sijawahi kuwa Chadema never na will never be, siku zote nimekuwa CCM na hoja zangu ni kuisaidia CCM na kuirekebisha CCM, Nape did the same, kama ni uanfiki na ukigeu geu ni huko kwenu ambako Slaa anaweza kugombea Urais akiwa Chadema na huku ana kadi ya CCM na anailipia!,

Najua mna hasira maana I am the master of this game na in the last ttwo weeks nimeigeuza this forums kichwa juu, mnababaika hamjui la kufanya maana mlizoea kujadiliana watu wote wenye mawazo sawa, akitokea mwenye mawazo tofauti mnamfungia na kumletea viroja, sasa mmekutana na jiwe, siwaogopi na wal sina wasi wasi kabisa na unafiki wenu!!-

Ni kweli at onetime tulipoanza tulikwua almost tuna ongea lugha moja ya mabadiliko, lakini never didi I betrayed my party CCM, mimi siiamini in watu never ninakiamini chama changu CCM na I work day and night for CCM, Viongozi wa CCM wanakuja na kupita CCM ipo pale pale, wakikosea nawambia tafuta Video zangu zote nikiwa huku bongo kila wakati ninairekebisha CCM, so people hapo hamna hoja kaeni tu mkao wa kula maana I am here na mawe yanakuja, ninawaonea sana huruma maana mnahangaika sana kuteteta msichokijua, infact wiki mbili sasa mnacheza muziki wangu, lakini bado nawaahidi kuigeuza hii sodoma and Gomora, mpaka kufikia uchaguzi 2015 mtakuwa maiti Chadema, I promise that with all my heart and soul!!-

Brother,

All that said and done, I have a little advice for you, whether you take it or do not, all thats up to you:

One, if you want to succeed in politics, you must keep your moral sense well under control; By moral sense, I mean the motivations that derive logically from the ethical and moral principles that govern your thoughts and actions;

And two, E. Freeman, An English historian who lived in the 17th Century, provides us with a good piece of advise (which should also serve as a constant remainder for us in the current political context, especially as Youths, in this Weak State called Tanzania:

"History is Past Politics, and Politics is Present History";

It is important for you, Nape, and other Youth Leaders (as well as those aspiring...) to comprehend
;

Otherwise, all the best in your political endeavours brother;
 
nenda kaombe msamaha kwenye media na utangaze kuwa uliwaibia pesa zao sababu ya ugum wa maisha huko Ughaibuni
 
Back
Top Bottom