Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

- Yes ni mimi FMES niliyeandika hizi thread and I am proud of it, na will do that anytime I feel chama changu kinahitaji kukumbushwa siburuzwi na mtu wala anybody, this is me the man od my word!!

Es!!

If you can't beat them join them! Wengine walizunguka nchi zima kutangaza siku 90 - what happened?
 
Field Marshall ES, naona hata pro-CCM wameanza kuonea aibu service yako hapa JF.

Hongera kwa kazi mpya ya kumwaga pumba humu!

I hope utakuwa na mchango wa kukumbukwa CCM, but I am not sure whether the legacy will be positive or negative.

Best wishes W. J. Malecela.
 
Last edited by a moderator:
- At least sina kadi ya Chadema ninayoilipia kila mwaka!

Es!
Tatizo lako ni kwamba you've such a big ego sababu tu ya jina la babako, lakini in actuality
you ain't no nothing even within the lowest ranks of the CCM, na hilo unajua wazi baada ya kurudi Bongo na mbwembwe ukitegemea labda jina la babako, umbo lako na sauti yako vingekupandisha chati kisiasa.

Sasa umegundua nobody gives a rat's ass about you or your phony background, na umeishia kuuza sura tu kwenye blogu.
 
Dah....Hii tamaa ya huyu jamaa imezidi.Ivi inakuaje mwanamume unashindwa kusimamia kile unachokiamini? Sasa si kuna siku utajiuza ? Dah....Shame to this guy
 
- Really? Nimejifunza kwamba unamfuatilia sana huyo jamaa na kumbe unaingia sana kwenye blog yake, halafu inaelekea hujui kwamba Mbuyu ulianza kama mchicha, kwamba Mukulu Le Mutuz unyemuongelea amerudi bongo miezi 10 iliyopita, mpaka tunapoongea sasa hivi in ten months ameweza kuwa:

1. Katibu wa Kata WAZAZI Kivukoni

2. Mjumbe Wa CCM Wailaya ya Ilala.

3. Mjumbe wa WAZAZI Mkoa wa DAR

4. Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, ambao unamchagua Mgombea Urais wa Tanzania,

5. Mjumbe wa Baraza Kuu La WAZAZI Taifa na Mjumbe wa BAraza Kuu la Taifa la UV-CCM!

- ETI NI KWELI YOTE HAYA YANAFANANA NA MANENO YAKO MKUU SANA? SO HE WAS RIGHT KUKUKWEPA ULIPOKUJA BONGO, ULIPOKUWA UNAMPIGIA SANA MASIMU YAKO! HA! HA1 UNAONA MUNGU HAMFICHI MNAFIKI!!

Es!
 
Dah....Hii tamaa ya huyu jamaa imezidi.Ivi inakuaje mwanamume unashindwa kusimamia kile unachokiamini? Sasa si kuna siku utajiuza ? Dah....Shame to this guy

- Ingekwua kweli usingekuja hapa, ni kwa sababu unajua kwamba I stand for something ndio maana umekuja mbio sana kujivua nguo!!

Es!
 
Tapeli tapeli tapeli. Vikao vinaendelea. Wamekushtukia.

- Najua unajisikia vibaya sana maana ni wewe uliyekuwa unaongoza matusi kule Facebook, sasa nikaona dawa ni kurudisha vita hapa hapa, sasa utahangaika sana wewe ulikuwa hujui unacheza na nani, wanaonijua vizuri wanajua kwamba umekanyaga makaa ya moto mamen!

- Dunia nzima inanijua inapokuja kwenye integrity, so kwenye hili nakuona kila mahali unajaribu kuanzisha ishu lakini utaishia kama wengine kama wewe waliojaribu, ila huwezi kushindana na mimi maana huwa nina ugly truths na simuogopi anybody!

- Mukama alipokosea nilichamna kwenye media, na sasa Slaa amekosea ninamchana kama kawaida, utaruka, utalia utacheka utatukana, lakini huwezi kubadili ukweli kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni makosa sana!!

nakubal dunia nzima inakujua ila kwa UTAPELI na pia kwa ile scendo ya Ze Utam.
Hapo wasipokujua wanamtindio.
Bora umefunguka aisee nimeanza kukuelewa.
Ze Mutuz, Ze Utam
wanatsha hawa jamaa, wao mwanzo Ze
 
nakubal dunia nzima inakujua ila kwa UTAPELI na pia kwa ile scendo ya Ze Utam.
Hapo wasipokujua wanamtindio.
Bora umefunguka aisee nimeanza kukuelewa.
Ze Mutuz, Ze Utam
wanatsha hawa jamaa, wao mwanzo Ze

- HAYA NI MANENO YANGU YA MWAKA 2009, SOMA UYAELEWE VIZURI OF WHAT I STOOD FOR THEN AN NOW!!

Wakuu wote heshima mbele, na wakulu Mwanakijiji, Invisible, na Waberoya,

Ninaomba niseme hivi, mimi ni mwananchi M-Tanzania, ninatoka mbali sana na taifa langu hili, katika hii safari nimejionea mengi sana mazuri na mabaya. Katika siasa za sasa niliamua kwa makusudi binafsi kujiunga na kundi la kupinga ufisadi, na pia nikajiunga hapa JF ili kuendeleza mapambano hayo na kutoa mchango wangu hata kiduchu kwa ajili ya taifa langu.

Katika vita kuna kushinda na kushindwa, sina tatizo kukubali kushindwa lakini ni haki yangu kufurahi inapotokea ushindi hata kiduchu, regardless ule ushindi umekujaje au umeletwa na nani! Je leo nina furaha kwa sababu CCM imebadilika na sasa Tanzania ni safi ever? Hapana! Eti sasa katiba imebadilika hapana! Matatizo ya taifa langu yapo pale pale, lakini jana mafisadi wamepigwa kipigo kizito, tena sana. Jana kwa mafisadi ni siku ya huzuni kubwa sana kuliko hata siku Lowassa alipoondolewa kwa rushwa.

Tarime aliyeshinda ni Taifa langu, na ndio matokeo yake haya sasa yanashuka mpaka chini pole pole, sasa eti ninafurahia nini, ninafurahia kupigwa fimbo jana kwa mafisadi ambao toka Dr. Slaaa atanagaze rasmi majina yao na matendo yao maovu, tumekuwa katika heka heka kubwa ya kupigana nao, yes sometimes wanashinda, lakini na sisi wananchi walalahoi tunashinda pia, na this is one of huo ushindi.

Eti tunaishangilia CCM in general hapana, lakini pia tunakuwa samba samba with time, tunakua current with our national politics. Tarime Chadema iliposhinda tumeshangilia sana, na mimi CCM nikiwa mmojawapo sikusikia mtu hapa akinilaumu, eti ni kwa sababu Taifa litakuwa halina tatizo tena? Hapana, ila ni kwa sababu matokeo kama yale yanaweza kuwafanya CCM wakaanza kua na akili japo kidogo, na huu unaweza kuwa ndio mwanzo wenyewe.

Hapa tunashngalia uwezo wetu JF wa kuweza kupata habari nyeti, nzito, na muhimu za taifa mapema na fast kabla wananchi karibu wote wa Tanzania, hawajazipata, eti hiyo sio sababu nzito ya kua na furaha? No kwangu ni heshima kubwa sana kwetu wananchi hapa kuweza kuongoza kwa upataji habari muhimu za taifa, kama vile tulipokuwa mbele kwenye kupata habari za kipigo cha Chunya.

Sasa do I need to apologise kwa sababu ya furaha yangu kwa mafisadi kupigwa changa la macho, absolutely No! Je ninafurahia nini? Ninafurahia kitendo cha mafisadi kukataliwa nafasi ya kutuburuza na pia kutupelekewa ujumbe mzito na CCM kwamba mchezo wao finally unaanza sasa kuwaudhi hata wale waliokuwa wakiwapigia kifua. JF tumeshiriki sana kwenye huu uamuzi wa jana kwa sababu tulikwua wa kwanza hapa kwueka hata mkataba feki wa jengo la UV-CCM, ni maudhi kama yale ndio yamepelekea huu uamuzi against mafisadi.

Salaam kwa Wote tulioko mastari wa mbele dhidi ya mafisadi, na tufurahie huu ushindi mdogo huku tukielewa kwamba mapambano bado kabisaa, na huenda ndio kwanza yameanza.

Na ninaahidi kwamba tupo pamoja na sasa tunajaribu kuendelea ku-monitor yanayojiri katika huu mkutano, na ninashukuru sana kwamba the ishu hapa leo JF sio uongo au credibility ya dataz, ila ni mengine ya kawaida kwenye siasa ambayo kwa ushindi huu mdogo, tuko tayari kuishi nayo.

Mungu Aibariki Tanzania! na Tuwe na amani!

FMES Wazee wa Sauti Ya Umeme! na Soon tutakua na uptodates!
 
Field Marshall ES

Mkuu kwa kifupi wewe hakuna anayekuamini tena hapa JF unapoteza muda wako bure, wewe ni Tapeli tu la mitandaoni Scammer.
 
Last edited by a moderator:
- Najua unajisikia vibaya sana maana ni wewe uliyekuwa unaongoza matusi kule Facebook, sasa nikaona dawa ni kurudisha vita hapa hapa, sasa utahangaika sana wewe ulikuwa hujui unacheza na nani, wanaonijua vizuri wanajua kwamba umekanyaga makaa ya moto mamen!

- Dunia nzima inanijua inapokuja kwenye integrity, so kwenye hili nakuona kila mahali unajaribu kuanzisha ishu lakini utaishia kama wengine kama wewe waliojaribu, ila huwezi kushindana na mimi maana huwa nina ugly truths na simuogopi anybody!

- Mukama alipokosea nilichamna kwenye media, na sasa Slaa amekosea ninamchana kama kawaida, utaruka, utalia utacheka utatukana, lakini huwezi kubadili ukweli kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni makosa sana!!

Es!

Hahahhahahaha. Wewe si ulinikimbia kule FB? Kama we huogopi ni kwa nini uliniblock? Kwa nini uliamua kutumia akaunti fake kutukana? Uzuri ni kwamba ulidharaulika na kila mtu kutokana na matusi uliyokuwa unatukana.. Ungekuwa sio mwoga wa hoja za ukweli usingeniblock.
 
Enzi hizoooooo FMES alipokuwa anashusha vitu vya uhakika hapa jamvini kwa kutetea maslahi ya nchi na kujijengea heshima kubwa kwa wanachama wengi wa wakati huo, sijui nini kilichotokea katika kipindi cha miaka michache iliyofuata...Mhhhh! Watu wanabadilika jamani!!!! Ukisoma jumbes za FMES za wakati huo na sasa unaona kama unasoma jumbes za watu wawili tofauti!!!!

Njaa ni kitu kibaya sana.. Mimi nashindwa kuamini ninachokisoma na ninashindwa kuamini huyu ni yule Sauti ya umeme wa zamani na huyu mpya kakutwa na balaa gani... Kuna mzee mmoja aliwahi kusema Njaa ni mbaya sana kwani ikizidi mwanaume anaweza kugeuzwa mwanamke sijui kuna ukweli gani kwenye hili...

ila siamini
 
Kuwa mkweli kwa nafsi yangu nakubali serikali hii imepoteza umaarufu sana na kuna mengi ya kuhoji juu ya uwajibikaji wake kwa watanzania. Hata hivyo, kusema moja kwa moja kuwa Serikali ya JK haijafanya jambo zuri hata moja ni extreme opinions au ni kumtazama mtu kwa jicho moja na kufumba lingine. Licha ya malalamiko mengi ya wananchi dhidi ya serikali bado kuna uwekezaji kama wa UDOM ulioofanywa na serikali ya JK. Nenda UDOM utajikuta unishiwa nguvu za kuitukana serikali. Ni uwekezaji wa vizazi vingi vijavyo!
 
- Yes ni mimi FMES niliyeandika hizi thread and I am proud of it, na will do that anytime I feel chama changu kinahitaji kukumbushwa siburuzwi na mtu wala anybody, this is me the man od my word!!

Es!!
Good. keep on posting. Guess we are learning a lot!
 
Duh!! Wabongo kwa ligi!! Mpaka mshinde!!

Woote nyinyi dhidi ya Le Mutuz!!
 
Back
Top Bottom