Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,964
- 131,415
Au we waionaje 😎Ila binadamu🤔
Au we waionaje 😎Ila binadamu🤔
Mi naona ni sawa t mwenyewe nitafanya vilevileAu we waionaje 😎
Amin Inshallah. Utapata mke mwemaaaHongera mkuu ikawe kheri kwao, ila ombi Moja kwangu naomba niombee namimi nipate mke mwema hawa nao waona ni matapeli nataka nipate kademu kakirangi hivi au member wa humu hata akiwa mshangazi poa tu ila asizidi miaka 45, allah sw awafanyie wepesi inshallah
Mashaallah awe mrangi au Fulani itakuwa bonge la poa sana hilo mashaallah 🙏🙏🙏Amin Inshallah. Utapata mke mwemaaa