:::::::Harusi:::::::::

Jmani banana zoro ana wimbo wake ule, nishike mkono, nishike kiuno, nakupenda mpenzi,
yaani waliimbiwa maharusi niliwasindikiza, looo niliona ni mzuri sana, aliimba live
 
Jmani banana zoro ana wimbo wake ule, nishike mkono, nishike kiuno, nakupenda mpenzi,
yaani waliimbiwa maharusi niliwasindikiza, looo niliona ni mzuri sana, aliimba live

Sogea nikushike mkono, sogea nikushike kiuno, sogea tuongee tuzungumze nakupenda baby! Kama ndo huu Shantel.......kweli ni mzuri mi mwenyewe naupenda.
 
Harusi yangu bibi harusi aliimbiwa:
Akanaana akanaa kaile kona,
kaile kaile nikeologa,
bagambe bagambe nibeshasa ,
bachundikane nke ebitaijwile,
basheshekane nke bipapali,
omwana nimanya ekyonamwendeile...,
JF aliyomwana wange okwo,nibamweta ......
TAFSIRI:
Ndizi imeiva hadi kudondoka yenyewe,
wakusema waseme wajiumize na watikisike kama debe tupu
wapukutike kama mbegu za papai
huyu beibe mi ndo najua nilichompendea.......
JF kuna kimwana wangu wa ukweli,anaitwaaa...
hiyo ndiyo akaana ya kwetu uhayani bana.highly recommended!
 
mwimbo huu
heheeee ilumbulye lya mkwelema, kolelaga chache ng'ombe
nalena sangile nowe, witungaga, shipi muda
akolelaga chache ng'ombe

sobi,..........mhh kuandika lugha ni taabu sana
ila walengwa wataelewa
 
aiseee Speaker nilikusahau..... Dah! Sijui nitoe hongera na hio Avatar....

Asante..... but it was worth it... alafu sikutoa bana.... Speaker bana.

Nipe hongera tu maana kuiondoa ile ya zamani haukua
uamuzi mdogo,nilifikiria sana ila mwisho credit zikaangukia kwenye kubadili
 
Kubyala ng'wana ngosha kwilolela bhano kaganda kaganga
Mlemona nu nina o Nzagamba
Alibina wisunda sunda
Mlemona nu ise o Nzagamba
Aliniba wisunda sunda

NB: Y'all be on the lookout for my mixtape coming soon to a store near you!

Ng'wanikee tolinge hongwa shombe,...
tolagage manumba tosage kosaka basomba

hahaha,long time n i miss home
 
Ng'wanikee tolinge hongwa shombe,...
tolagage manumba tosage kosaka basomba

hahaha,long time n i miss home
Wale soleli chagejo, chaaaa,
kwembale kachajaga,chaaaaaa
okozugale kachajaga, chaaaaa
nenete na mayo, chaaa
jagi mkatomamile chaaaaa

wantwalaaa ngw'ana wiswe...............
 
Afrodenzi unaujua ule wa....koicho tirotirotiro....koicho tirotirotiro...koicho tirotirotiro...wako (hapa unataja ukoo husika)....wakupaya....wacha kabisa hii si mchezo...the best harusi song ever

Ha ha haaa hawa jamaa bwana usalama kwanza, ni mwendo wa kushikana mikono wakati wa kucheza wasije kuibiana simu!
 
mwimbo wa kichaga ule wa mduara huku mmeshikana mikono huwa unanifurahisha
 
anything bt nt 'nibebe,nibeebe, nibembeleze nibebe ...', i hate the song! na watu wanavyocheza na high heels hawajazizoea basi inakuwa keroro!
 
Wale soleli chagejo, chaaaa,
kwembale kachajaga,chaaaaaa
okozugale kachajaga, chaaaaa
nenete na mayo, chaaa
jagi mkatomamile chaaaaa

wantwalaaa ngw'ana wiswe...............

wantwalaaa ng'wana wise wantwala asomile! .......Eng'ombe jalinane ya kenda yoja na bhageni.....(nimechemka mwaya) Dinnah Dinnah Dinnah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom