The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Hahaha!!! Kashwagala bana natumaini Omushwago tigwakukwata....Mkuu unatisha,nasikia watu manaopenda aina ya hizi nyimbo mnajua sana kucare.....tete te teh
Hahaha!!! Kashwagala bana natumaini Omushwago tigwakukwata....Mkuu unatisha,nasikia watu manaopenda aina ya hizi nyimbo mnajua sana kucare.....tete te teh
......Frankly Speaking If this is a dream, I just Wanna keep on dreaming...I Do Love You...BabaDesi alishawahi kutujulisha juu ya huu wa Patrick Balisidya na Afro 70 'Wana Afrosa'....Kibao kinaitwa HARUSI:
Kuoana ni jambo la sifa,
Na tena ni jambo la fahari kubwa,
Katika historia ya binadamu,
Ni shangwe isiyo kifani,
Kwa watu wawili waliopendana,
kuoana katika ndoa kamili,
Hivi leo Ndyanao na Saibaa mnaona,
Kumbukeni wazi mmetimiza ahadi yenu kwa mungu,\
Harusi mliyofanya ni kiapo kitakachowahukumu,
mara mtakapo jaribu kutengana,
Katika hali yoyote kaeni kwa amani nawausia,
Mpaka kifo kije kuwatenganisha x 2
(chorus)
Jaribuni kuwaepuka marafiki wabaya,
kwani huenda wakaipotosha ndoa yenu,
mkatenganaa, wakawadharau,
Wakumbukeni wazazi wenu wa pande zote,
watapopatwa na shida yoyote ile,
wasaidieni, mtapata baraka,
Kuweni na moyo wa mapenzi kwa mtu,
tena muwe wacheshi kwa kila mtu,
ni sifa kubwaa, mtaheshimiwa,
Kuweni wakarimu wakubwa nyumbani mwenu,
mzaapo watoto wenu muwatunze vyema,
wawe na adabuu, na heshima nyingii,
ndivyo walivyoishi wazazi wetu x 2
Patrick Balisidy aliutunga na kuuimba huu wimbo kwa ajili ya harusi ya dada yake Ndyanao kwa Saibaa kama anayowataja kwenye ubeti wa tatu.

Katika vitu ningependa kupangilia kwenye wedd. yangu ni music na ziwe swahili au lugha ya kigeni.

Wedding dance nitapenda nyimbo kati ya Machozi ya Furaha(JayDee), Time after Time(Cindy Lauper), So Amazing(Luther Vandross), End of the Road (Boyz 2 Men).

Pia mpangilio wa nyimbo nitapenda utegemeane na matukio kati ya muda na muda kwenye wedding.

AD una mipango wa harusi nini? all the best mamii)
Wakubwa shikamooni
Wadogo marakhaba..
Wengineo mambo zenu..
Nway mie ningependa kuuliza
Nyimbo gani za harusi nzuri ..?
Au nyimbo gani zilikuwa kwenye harusi yako.?
Na kama bado hauja olewa / oa
Unapendekeza zipi? ..
Kuanzia kichangasha ukumbi, wa taratibu,
yaani nyimbo zozote watu watakazo
Furahia na ku cheza ..
Na tanguliza shukrani..
AD.
ha ha ha..... Umenikumbusha mbali....
my first wedding niliimba a Whitney Houston
Song.... Sasa when i think of it.... EMBARRASSING....lol
ha ha ha..... Umenikumbusha mbali....

my first wedding niliimba a Whitney Houston

Song.... Sasa when i think of it.... EMBARRASSING....lol
1.Muogo wa jang'ombe......
2.sijui jina unaibwa ...(Mungu alipo muumba adam,hakumwacha awe peke yake,akamfanyia msaidizi.....bla bla bla)
3........
Ops,nimeitwa kuchukua majibu hapa
Duh,pole sana Asha,...kumbe ulishatoa talaka doh
Aibu ya nini mamito.
Nyimbo zote za Whitney ni nzuri
Sana.. ngoja niziweke kwenye collection
sante aee..
1.Muogo wa jang'ombe......

2.sijui jina unaibwa ...(Mungu alipo muumba adam,hakumwacha awe peke yake,akamfanyia msaidizi.....bla bla bla)

3........

Ops,nimeitwa kuchukua majibu hapa
Staki kukucheka
sababu hilo daraja
Linanisogelea ni daraja
pekee lenye miguu..