Tetesi: Harusi ya Ruge na Zamaradi iko tayari, imepewa jina la Harusi ya Watu

Ruge mutahaba.. ni bingwa wa biashara ya burudani tanzania..
digrii yake ya masoko aliyoipata san diego state university usa.. mwanzoni mwa miaka ya 90 ameitendea haki sana.. maana toka alivyotua bongo baada ya kumaliza chuo ni mafanikio tu

hajawai kuomba ajira kwa mtu toka ametoka chuo zaidi ya kuungana na mwenzake kusaga na kujiajiri kwa mafanikio makubwa sana...
Ruge mutahaba tatizo lake ni moja tu mapenzi na kazi..
ukiacha hilo pungufu lake jamaa ni kichwa sana kwenye kuongoza kampuni ya burudani...

angalia clouds ya miaka ya 90 clouds disco..
angalia mfumo wake wa uongozi utamkubali huyu mhaya noma
"Mapenzi na kazi"siyo TATIZO lake,ni damu yake ya BUKOBA,hapo huwezi kumbatiza.Nature.
 
Back
Top Bottom