Harusi ya mwana jf zemu-kule tanga.

Mwana JF mwenzetu ZEMU atafunga ndoa mwezi wa 7 kule Tanga( rejea thread yake mwenyewe:kitu kizuri kula na wenzio):Je kama ni kamati ya maandalizi unaona hapa JFnani anafaa kuwa mwenyekiti wa kamati ya:
1.CHAKULA
2.VINYWAJI
3.ULINZI
4.USAFIRI
5.BURUDANI.
naaaaah naa MC,kukaribisha wageni,naaaaah naaah labda atahitaji wadhamini,je nani awe
mdhamini wa bwana arusi na nani awe mdhamini wa bi arusi?

Hongeera sana ZEMU kwa maamuzi ya kuwowa!! jamani tumpe tafu mwenzetu kama tulivyofanya kwa GEOF nakumbuka nilikuwepo na nikaonana na wana JF kibao fidel, xpin, Geof na my wife wake, pamoja na jiraaani yangu mutu ya nairobi Edson.
Kwa taarifa fupi zinafata zingine mwezi ujao.
Tuko pamoja.
 
Mwana JF mwenzetu ZEMU atafunga ndoa mwezi wa 7 kule Tanga( rejea thread yake mwenyewe:kitu kizuri kula na wenzio):Je kama ni kamati ya maandalizi unaona hapa JFnani anafaa kuwa mwenyekiti wa kamati ya:
1.CHAKULA
2.VINYWAJI
3.ULINZI
4.USAFIRI
5.BURUDANI.
naaaaah naa MC,kukaribisha wageni,naaaaah naaah labda atahitaji wadhamini,je nani awe
mdhamini wa bwana arusi na nani awe mdhamini wa bi arusi?
Hicho kitengo cha pili naomba nipewe mimi!
 
katika vitengo vyote ,mapambo na vinywaji ndio vimepata wasimamizi tu Wh?. Napendekeza Masanilo na Fidel80 wakae kwenye kamati ya ulinzi hii ina wafaa sana.
 
chipukizi hiyo avatar yako mweh, kweli raha jipe mwenyewe.....
hiyo ni habari njema,kumbuka kuwalea wana ndoa haiishii ukumbini tu.
Nb; tarehe imebadilishwa,soma thread yake.zemu
 
Mwana JF mwenzetu ZEMU atafunga ndoa mwezi wa 7 kule Tanga( rejea thread yake mwenyewe:kitu kizuri kula na wenzio):Je kama ni kamati ya maandalizi unaona hapa JFnani anafaa kuwa mwenyekiti wa kamati ya:
1.CHAKULA
2.VINYWAJI
3.ULINZI
4.USAFIRI
5.BURUDANI.
naaaaah naa MC,kukaribisha wageni,naaaaah naaah labda atahitaji wadhamini,je nani awe
mdhamini wa bwana arusi na nani awe mdhamini wa bi arusi?

Mi navojua nilizaliwa kwa ajili ya kazi moja tu.

Nipeni hiyo kazi tafadhali.
 
Kwenye hii issue mbele yetu mbona siuoni uhamasishaji ??
Tunamsaidia vip mwenzetu huyu bwana harusi
 
Mi navojua nilizaliwa kwa ajili ya kazi moja tu.

Nipeni hiyo kazi tafadhali.

Mkuu tatizo wewe ulizaliwa kwa kazi ya kuvinywa sio kuvisimamia!!
Tangu lini bucha akapewa fisi alinde? si atakula hadi gogo la kukatia nyama lols
 
Kwenye hii issue mbele yetu mbona siuoni uhamasishaji ??
Tunamsaidia vipi mwenzetu huyu bwana harusi
umesema kitu cha maana sana,ngoja kwanza si unajua? mjini hapa,au wewe unamjua vilivyo ZEMU?
TUNATAKA UTHIBITISHO WA ARUSI KUWEPO HALAFU NAPENDEKEZA,TURUSHE MICHANGO YETU KUPITIA INVISIBLE. LAKINI INVISIBLE AKATE % FULANI KWA AJILI
YA GHARAMA ZA UKUSANYAJI NA KUENDELEZA JF NASHAURI 10%.........HUYU JAMAA NILISHAMUULIZA KIMA CHA CHINI KWA SINGLE ILI UPEWE KADI NI SH NGAPI? NAONA KAUCHUNA AU YUKO BUSSY KUONGEA NA MPENZI WAKE. NAPENDEKEZA TUANZE KUCHANGA KUANZIA MWEZI UJAO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom