Harusi ya mwana jf zemu-kule tanga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harusi ya mwana jf zemu-kule tanga.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tall, Apr 16, 2010.

 1. T

  Tall JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mwana JF mwenzetu ZEMU atafunga ndoa mwezi wa 7 kule Tanga( rejea thread yake mwenyewe:kitu kizuri kula na wenzio):Je kama ni kamati ya maandalizi unaona hapa JFnani anafaa kuwa mwenyekiti wa kamati ya:
  1.CHAKULA
  2.VINYWAJI
  3.ULINZI
  4.USAFIRI
  5.BURUDANI.
  naaaaah naa MC,kukaribisha wageni,naaaaah naaah labda atahitaji wadhamini,je nani awe
  mdhamini wa bwana arusi na nani awe mdhamini wa bi arusi?
   
 2. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #2
  Apr 16, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,975
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Zenu mbona mimisimpati kabisa kwenye memories zangu.
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Jamani hiki kitengo mm nakiomba mnipe.
  Itabidi wadau tujipige pige kumsaidia mwenzetu.
   
 4. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #4
  Apr 16, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,975
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha.Umechagua vinywaji eeh.hatutaki ukae huko.Wewe tutakuweka kwenye Ulinzi.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hiki kitengo mm nakimdu sana watu kama akina Chrispin nitaamuru wanywe mma 1 moja tu kwa kuhofia usalama wa ukumbi.
   
 6. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mpendwa, JF ina memba zaidi ya 10,000. nadhani si rahisi kuwajua wote.

  tall unafaa kuwa mwenyekiti, Geof katibu
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,313
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Mhasibu wa Fedha naomba niwe mie
  tarehe ngapi tujipange
   
 8. H

  Hamuyu Senior Member

  #8
  Apr 16, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yah kwanini usiombe ulinzi?
   
 9. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,466
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160

  Katika hizo zote hapo juu, unadhani ni kamati ipi itakuwa na idadi kubwa ya warembo? Hiyo ndiyo itayonifaa zaidi!
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,620
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kaka Fidel 80 acha kuingilia fani za watu... Vinywaji niachie mimi... Fidel 80 nadhani wewe uwe Floor Manager...
   
 11. P

  PELE JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mchango mwingine wa harusi!!!! Lini mtaanza michango ya kusaidia mashule yetu ambayo yako katika hali mbaya!?
   
 12. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nataka kukaribisha wageni ili nizione sura zote zitakazotia timu.
   
 13. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Vinywaji plz bila shaka nimepita
   
 14. T

  Tall JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mambo yenyewe bado kidogo hadi july,hapa ni mipango tu.
   
 15. T

  Tall JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hii idara ya ya vinywaji wagombeaji wako tele,KULIKONI?
   
 16. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kuhakikisha wanaenda honeymoon nzuri nitafuteni!
   
 17. T

  Tall JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  unataka kuwapeleka DUBAI?
   
 18. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 515
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kaka Tall kwanza nakushukuru kwa kuwakumbusha wanaJF, tarehe imebadilika kidogo itakuwa tarehe 17/04 baada ya tarehe hio ya awali kuwa na mkutano wa wachungaji.Karibuni sana WanaJF.
   
 19. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,067
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mh. Mwaka gani mzee??
   
 20. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,158
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  mboan imeshapitaaaaa!!!
   
Loading...