Harusi ya kule kwetu Taarime

Amempenda kwa dhati..........
 
Ndio nini fufu

Ni ugali lakini jina hili hutumiwa zaidi na wenzetu wa magharibi ya Afrika...unga wake mara nyingi huwa ni mchanganyiko wa unga wa nafaka kadha wa kadha.

Kuna marafiki zangu wa Ghana washwahi nitengenezea hii kitu, nakumbuka nilikula na nyama ng'ombe roast...lol wakanikumbusha Usukumani kabisa.

NB:
Fufu is a staple food of West and Central Africa. It is made by boiling starchy food crops like cassava, yams or plantains and then pounding them into a dough-like consistency
 
nimecheka mfanoe hakuna...shughuli msalani kwa uo ugali mwekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…