nimecheka mfanoe hakuna...shughuli msalani kwa uo ugali mwekundu
Ndio mpiga picha. Kamera yake agusi mtu
Nzuri harusi
Harusi nzuri , tuanaombea maisha mema, upendo na mazikilizano, Huo ni ugali mwekundu ni ugali wa mtama .
bada hilo au ugali wa muhogo...Hicho kwenye sufuria ni nini?