Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
Hapo ni full self service...
Hapo ni full self service...
![]()
Nzuri harusi
Toa ushungi bibie tukuone, hapa JF!
Nzuri harusi
Huu ni ubarikio na siyo harusi. Vijijini watoto wengi huvaa kitu kama shela. Ukichunguza mmoja aliye nyuma nae amevaa kitu kama shela.Hapo ni full self service...
![]()
baba harusi yuko wapi!!!!!!
Ndio mpiga picha. Kamera yake agusi mtu
ugali wa mahemba aka mtamahii nyekundu kwenye sufuria ni nini?
Hahaaaaa sa tukitaka picha yake na mkewe tutazipatajee
wala fufu weye?
Ndio nini fufu
hicho kwenye sufuria ni nini?
Hapo ni full self service...
![]()